Fundraising 2011/Thank You Page/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Translation instructions
  • For pages marked "Missing" or "In progress", click the page title and start translating. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • For pages marked "Needs updating", compare the page to the source page and update the translation accordingly. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • It is important to have someone else proofread the translated page! If you have proofread a page and it is ready for publication, click "edit status" and change that page's status to ready.
  • If you are changing something that has already been published, change its status back to ready for it to be published again.

If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ

Asante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochaniliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!

Bank transfer[edit]

'Asante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochaniliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!

Ukurasa huu si stakabadhi. Utapokea stakabadhi kwa barua pepe endapo Wikimedia Foundation itakamilisha kupokea mchango wako. Tafadhali kumbuka kwamba jina la mpokeaji katika taarifa zako za benki itakuwa 'Global Collect', ambaye ni kampuni inayotekeleza upokeaji wa michango yetu. Kumbuka kuweka namba ya rejeo uliopokea wakati unaowasilisha ombi la kuhawilisha fedha kwa benki yako. Kama ungependa kuuliza swali, tafadhali utume barua pepe kwa donate@wikimedia.org."

Direct debit[edit]

Asante kwa mchango wako. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochangiliwa na wafanyakazi wao. Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!

Ukurasa huu si stakabadhi. Mchango wako inafanikiwa kazi. Utapokea stakabadhi kwa barua pepe endapo Wikimedia Foundation itakamilisha kupokea mchango wako. Kama ungependa kuuliza swali, tafadhali utume barua pepe kwa donate@wikimedia.org.

Thank You / Stories
  1. Soma sababu za wafadhili wengine kuchangia kwa Wikipedia na miradi mengine za jumuia ya Wikimedia. Au soma kama mwajiri wako una mpango wa kuchangia katika vyama vinavyochangiliwa na wafanyazazi wao.
    Mwambia dunia nzima kwamba umefadhili Wikimedia: andika twiit yenye hashitagi #keepitfree!
  2. Ukiweka alama katika kisanduku hicho, unaruhusu Wikimedia Foundation iwasiliane nawe kuhusu habari ulizotoa, na kuitumia kutangaza Wikimedia Foundation na miradi yake.
  3. Si lazima
  4. Umri