Ruzuku:orodha

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Jump to: navigation, search
This page is a translated version of a page Grants:Index and the translation is 100% complete.

Other languages: Afrikaans 0% • ‎Arabic 97% • ‎Asturian 47% • ‎Azerbaijani 40% • ‎Catalan 3% • ‎Czech 0% • ‎German 93% • ‎Zazaki 3% • ‎Greek 3% • ‎English 100% • ‎Spanish 7% • ‎Basque 13% • ‎Finnish 3% • ‎French 93% • ‎Hebrew 7% • ‎Hungarian 3% • ‎Indonesian 3% • ‎Italian 13% • ‎Japanese 23% • ‎Kannada 3% • ‎Korean 3% • ‎Macedonian 3% • ‎Malayalam 3% • ‎Marathi 3% • ‎Mazanderani 3% • ‎Dutch 3% • ‎Oriya 3% • ‎Polish 13% • ‎Brazilian Portuguese 3% • ‎Russian 97% • ‎Slovenian 3% • ‎Serbian (Cyrillic script) 3% • ‎Serbian (Latin script) 0% • ‎Swedish 3% • ‎Swahili 100% • ‎Tamil 3% • ‎Turkish 3% • ‎Ukrainian 100% • ‎Vietnamese 0% • ‎Yiddish 0% • ‎Simplified Chinese 3% • ‎Traditional Chinese 3%

Ukurasa huu unaelezea mpango wa ruzuku kutoka WMF.kitovu cha ruzuku ya WMF kusoma njia nyinginezo za kupokea ruzuku kutoka Shirika la Wikimedia (WMF). wanachama washirika wa WMF wengi yao hutoa ama kulipia mipango iliyokaa Miradi (ili kuondoa utata)

Mhitasari wa mpango wa ruzuku wa WMF

Masurufu ya Shirika la Wikimedia (WMF)mission-aligned uvumbuzi-umelenga kupitia mpango wa miradi ya ruzuku ya WMF, na hutoa ruzuku pamoja msaada usio na malipo. mwaka wa fedha wa 2012-13 utakuwa ni mwaka wa nne tangu Shirika la Wikimedia lianze kutoa ruzuku: kuanzia mwaka 2009, mpango wa utoaji ruzuku wa shirikia la Wikimedia tangu ulipoanza zaidi ya Dola za kimarekani 2,000,000.00 zimeshatolewa. katika mwaka wa fedha wa 2011-2012, Jumla ya mafungu 54 yalitolewa ambapo zaidi ya Dola za kimarekani 1,1oo,ooo.oo ziligawiwa kwa jumla ya taasisi 39 na watu binafsi.

Mpango wa ruzuku wa Shirika la ruzuku la wikimedia (WMF) unalenga kutoa ruzuku kwenye Template:II. Dhamana zote za mradi zinahesabiwa kulingana na gharama zilivyoainishwa, na nizile zinazohitajika kuorodheshwa katika Taarifa ya miradi kwa umma. tathimini ya Mchakato wa Mpango wa ruzuku ya Shirika la Wikimedia ni wa umma pia, na unaoongozwa na Kamati ya Ushauri ya Ruzuku (KUR). ya kujitolea


Kuwasilisha maombi Muda wa kuleta maombi ya ruzuku ya Shirikia la Wikimedia ni kwa wakati! wowote! Tafadhari soma hapa kuhusu mpango wa (Ruzuku) kama utapenda kuwasilisha maombi.
Photos at the Wikimedia Foundation Office.jpg


Maombi yote yaliyowasilishwa hufanyiwa tathimini ya wzi kweny ukurasa wa Meta (Tovuti hii) na utatazamwa na kuchangiwa mawazo na mtu yeyote.
Farm-Fresh bullet black.png Orodha ya ruzuku itawasilishwa na kuonyesha maombi yote ya mpango wa ruzuku wa Shirikia la Wikimedia yaliyowasilishwa yataonyesha maamuzi ya utoaji ruzuku na mwaka wa fedha.
Farm-Fresh bullet black.png Orodha ya taarifa ya ruzuku itaonyesha hali harisi ya taarifa na mwaka wa fedha ya mpango wa ruzuku wa Shirika la Wikimedia.
Farm-Fresh bullet black.png Taarifa ya hali ya Ruzuku hubainisha maelezo hali halisi ya sasa na maombi yaliyokwishawasilishwa


Maombi ya wazi Tafadhari toa maoni kwenye maombi ya wazi na taarifa, taathimini ya hali ya sasa kifedha na maombi ya yote ya l;akini pia taarifa ya kila mwaka wa fedha..

Namna ya kuwasilisha na kupokea ruzuku kutoka mpango wa ruzuku wa WMF

KuchunguzaKuchunguza mpango wa ruzuku wa WMF: angalia Utangulizi wa kuwasilisha na kutahthimini hatua za mafanikio ya ruzuku.

Tathimini ya mahitaji yanayostahili, mahitaji ya utoaji wa taarifa, na kujifunza namna ambavyo mpango wa ruzuku wa WMF unavyofikia maamuzi ya kutoa ruzuku:
Mahitaji stahiki Mahitaji stahiki
Vigezo vya kufikia maamuzi Vigezo vya kufikia-maamuzi
Mahitaji ya utoaji taarifa Mahitaji ya utoaji taarifa

Wasilisha Wasilisha maombi yako mapya hapa, anza na ushiriki wako katika Taratibu za taathimini ya uwasilishaji.

Kama maombi yako yamekubaliwa, Shirikiana na watumishi wa WMF katika kukamilisha Hatua inayofuata kukubaliana na maombi ya ruzuku kwa hatua ya kupokea fedha.

Taarifa fanya tathimini ya Namna ya utoaji taarifa na wasilisha taarifa yako ya ruzuku hapa. Tafadhari wasiliana na shirika la Wikimedia mara tu baada ya kuwasilishwa ili kuhuisha mradi na athari zake!