Mtumiaji aliyesajiliwa

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Registered user and the translation is 50% complete.

Mtumiaji aliyesajiliwa ni mtumiaji ambaye amefungua akaunti na ambaye ameingia katika mradi wa Wikimedia. Zaidi ya yote kwa kile Mtumiaji asiyesajiliwa anaweza fanya, mtuiajia aliyesajilia anaweza kufanya:

  • Kuanzisha kurasa (ambazo si kurasa za majadiliano)
  • Hariri mapendekezo yako binafsi
  • Hariri orodha yako mwenyewe ya maangalizi.Angalia baadhi ya hatua bado zitaongeza kurasa hata bila haki hii.
  • Kupakia mafaili
  • Kutia alama kwamba badiliko ni dogo
  • Kuhamisha kurasa

Orodha kamili ya haki inapatikana kwenye Wezo za kundi za watumiaji.

Hariri zote zilizofanya na mtumiaji aliyesajiliwa zitaonyesha jina la mtumiaji katika historia badala ya anuani ya IP.

Watumiaji au Waendelezaji) hawawezi kuhariri ama kuondoa kurasa zilizowekewa ulinzi. Watumiaji wapya hawawezi kuondoa kurasa ambazo tayarizimeingizwa ama kuondoa kurasa zozote. Vikwazo vidogo vingine, vinategemeana na wiki,utnhusu ntumiaji mpya aliyesajiliwa (kwa phabricator:T14556, upakiaji wa nyaraka umehakikishwa moja kwa moja katika miradi mingine.

Watumiaji waliosajiliwa kwenye Wikimedia Commons ni pamoja na Watumiaji wa kuaminiwaKatika matumizi huru ya picha kunahitajika uhakika wa mahitaji ya leseni zinakuwepo na hai, mtumiaji aliyesajiliwa na ambaye ni mwanafamilia utumiaji huru wa leseni anaweza kuomba kuwa mtumiaji aliyeaminiwa, ambaye ni mtumiaji kidaraja katika mfumo huru wa leseni. Watendaji wa mfumo huru wa leseni wanahitaji kuomba kuwa watumiaji wa kuaminiwa kama watu ambao tayari wamekuwa watumiaji wa daraja la juu nje ya kusajiliwa kama watumiaji.

Autoconfirmed status

On MediaWiki, there is a pseudo-group called "autoconfirmed" to prevent new accounts from flooding a wiki with low quality or vandalism edits. After an account is a number of days old, or has performed a certain number of edits, the account is given the "autoconfirmed" flag. The thresholds are different for different wikis, though the default configuration is four days delay, with no minimum edit count requirement.

Examples of custom configurations:

As of December 2022, the longest waiting periods are 7 days (in de.wikibooks, it.wiki, no.wiki, wuu.wiki, and most zh.* wikis); and the highest edit count requirement is 50 edits (in ar.wiki, es.wiki, it.wiki, zh.wiki and wikidata), whereas the most common custom setting is 10 edits. For an up-to-date of the current settings, review the $wgAutoConfirmAge and $wgAutoConfirmCount arrays in WMF's InitializeSettings.php.

Some requests to increase such limits have been rejected in the past — see Limits to configuration changes.