Talk:Fundraising 2011/Jimmy Letter 001/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Salaam, Mayenge! Haya, tazama barua ile ambayo nimejaribu kutafsiri:

Kiswahili

Mimi ninajitolea.

Silipwi hata senti kwa kazi yangu katika Wikipedia, na wala si hao wahariri na watunzi wengine wanaojitolea kufanya kazi katika Wikipedia. Nilipoanzisha Wikipedia, ningeweza kuifanya iwe kampuni ya kujipatia faida kwa kuweka mabango ya matangazo ya biashara, lakini niliamua kufanya kitu tofauti.

Biashara ni nzuri. Kutangaza si uovu. Lakini hapa si mahala pake. Sio katika Wikipedia.

Wikipedia ni kitu maalumu. Ni kama maktaba au hifadhi ya umma. Ni kama vile hekalu kwa ajili ya mawazo. Ni mahali ambapo wote tunaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, kupeana maarifa yetu na wengine. Ni mradi wa kipekee wa kibinadamu, wa kwanza katika historia ya mwanadamu. Ni mradi wa kibinadamu unaoleta kamusi elezo huru kwa kila mtu katika dunia.

Kila mtu mmoja.

Iwapo watumiaji wote milioni 400 wa Wikipedia wakachangia $5 kila mmoja, tungekuwa na kiasi cha pesa mara 100 ya kile tunachohitaji. Sisi ni shirika dogo, na nimefanya kazi kwa juhudi kwa zaidi ya miaka kadhaa ili kutuweka katika hali inayofaa. Tunatimiza mpango wetu, na kuacha yasiyofaa kwa wengine.

Kutimiza mipango yetu bila kuweka matangazo, tunakuhitaji wewe. Ni wewe unayeweka ndoto hii hai. Ni wewe uliyeanzisha Wikipedia. Ni wewe unayeamini ya kwamba kuna haja ya kuwa na sehemu ya kutafakari na kujifunza kwa utulivu.

Mwaka huu, tafakari kufanya mchango wa $5, $20, $50 au kiasi chochote unachoweza kuilinda na kuiendeleza Wikipedia.

Ahsante,

Jimmy Wales

Mwanzilishi wa Wikipedia


Kiingereza

I'm a volunteer.

I don't get paid a cent for my work at Wikipedia, and neither do our thousands of other volunteer authors and editors. When I founded Wikipedia, I could have made it into a for-profit company with advertising banners, but I decided to do something different.

Commerce is fine. Advertising is not evil. But it doesn't belong here. Not in Wikipedia.

Wikipedia is something special. It is like a library or a public park. It is like a temple for the mind. It is a place we can all go to think, to learn, to share our knowledge with others. It is a unique human project, the first of its kind in history. It is a humanitarian project to bring a free encyclopedia to every single person on the planet.

Every single person.

If all of Wikipedia's 400 million users would donate $5 each, we would have 100 times the amount of money we need. We're a small organization, and I've worked hard over the years to keep us lean and tight. We fulfill our mission, and leave waste to others.

To do this without resorting to advertising, we need you. It is you who keep this dream alive. It is you who have created Wikipedia. It is you who believe that a place of calm reflection and learning is worth having.

This year, please consider making a donation of $5, $20, $50 or whatever you can to protect and sustain Wikipedia.

Thanks,

Jimmy Wales

Wikipedia Founder


Pia, nimeona kumekuwa na fujo kupita kiasi. Imekuwaje? Tuwe kidogo na uungwana katika hili na si kuweka majina-majina katika barua au michango inayofanywa. Ukurasa wa historia unaonesha nani kafanya! Haya, tuendelee kusaidiana!--Wikipedian (Activist) 04:04, 21 September 2011 (UTC)[reply]

Saamahani Kaka,kidogo tulikuwa tumejadiliana pale WMKE ili kutafsiri hiyo barua.Nadhani tulikosea kwa kusaini.Nimehariri kiasi niweavyo.Haya shukrani kaka Mpmayenge 05:20, 21 September 2011 (UTC)[reply]
Mayenge, you don't get me at all. The above letter was translated by me.. And the second one it is its version in English. What brought me over was to hear and share your thoughts regarding the letter which submitted by me at the top and not otherwise. All I need is your consultation regarding the letter. We need to have a unified voice about this. Please check the translation and share your ideas. That's all. Thanks, Muddyb au--Wikipedian (Activist) 07:39, 21 September 2011 (UTC)[reply]
Muddyb,I think we misunderstood other.I hade also translated the whole leeter before you beeped me.i actually thought you asked me to look at your letter and compare with mine.Anyway if you check the history,i actually corrected some few things in your letter.had you noticed that I had translated the whole letter too??Anyway lets embark on the FAQ now that the letter is ready.Apologies for misunderstanding you

Thanks Wikipedian (Activist) and lets forge ahead

Mayenge, that was the only thing brought me over.An ideas between the men! And now let us focus on the FAQ instead arguing about the letter. With warmest regards, Muddyb!--Wikipedian (Activist) 19:33, 22 September 2011 (UTC)[reply]