Jenga Wikipedia ya Kiswahili
Jenga Wikipedia ya Kiswahili | |
---|---|
Chapters (37)
- CH Wikimedia CH
- GB Wikimedia UK
- KR 위키미디어 한국
- RU Викимедиа РУ
- US-NYC Wikimedia New York City
- CAT Amical Wikimedia
Wikimedia user groups (153)
- ESP-WE Wikiesfera Grupo de Usuarixs
- H-GAPS H-GAPS User Group
- MK-SK Shared Knowledge
- NGA-HA Hausa Wikimedians User Group
- NGA-IG Igbo Wikimedians User Group
- RU-Don Don Wikimedians User Group
- US-NE New England Wikimedians
- WJ WikiJournal
- WK? Whose Knowledge?
Utangulizi - Introduction
[edit]Jenga Wikipedia ya Kiswahili ni kundi la wahariri na wakabidhi wa Wikipedia ya Kiswahili waliowahi kushiriki katika kazi hii tangu miaka 10 hivi ilhali wanakaa katika nchi mbalimbali. Wikipedia ya Kiswahili ni kamusi elezo la pekee kwa lugha hii hivyo ina nafasi na wajibu wa kukua na kuwa chanzo muhimu cha elimu kwa wasemaji wote wa Kiswahili. | Jenga Wikipedia ya Kiswahili (« Build Swahili WIkipedia ») is a group of editors and admins at this Wikipedia who have cooperated for about 10 years while living in different countries. Swahili Wikipedia is the only encyclopedic resource in this language and thus has the chance and responsibility to grow and be an important source of knowledge for all speakers of Swahili. |
Shabaha - Objectives
[edit]Tunalenga kuimarisha Wikipedia ya Kiswahili na kuiboresha.
|
We aim to strengthen Swahili Wikipedia and make it better.
|
Shughuli - Activities
[edit]
|
|
Historia - History
[edit]Katika miaka 10 tangu kuingia katika Wikipedia ya Kiswahili tulishauriana kupitia intaneti ilhali tulikaa Tanzania, Kenya, Ujerumani na Uajemi.
|
In the 10 years since we joined Swahili Wikipedia we communicated via the internet while living in Tanzania, Kenya, Germany and Iran
|
Mawasiliano nasi - Contact information
[edit]Users Kipala and Muddyb
Wanaopenda kushiriki - Interested in participating
[edit]Kama umeshashiriki hapa na kuchangia kwa muda wa angalau mwaka moja unakaribishwa kujiunga nasi. Peleka ombi lako kwa Muddyb, Kipala au andika kwenye ukurasa wa majadiliano!
- sw:User:ChriKo
- User:Kipala - former (RIP)
- User:Muddyb
- User:Riccardo Riccioni
- User:Jon Harald Søby
- User:Abbasjnr
- User:sultanseifu
- User:Benson_Muite
- User:Jadnapac
- User:Tahadharamsi
- User:Czeus25 Masele
- User:Anuary Rajabu
- User:Justine Msechu
- User: Husseyn Issa
- User: Idd ninga
- User:Asterlegorch367
- User:Rwebogora
- User:Killy95
Kurasa za ziada
[edit]- Our user group agreement as accepted by WMF
- Jenga_Wikipedia_ya_Kiswahili/Report_2019
- Jenga Wikipedia ya Kiswahili/Report 2020
- Jenga_Wikipedia_ya_Kiswahili/Report_2020-21
- Jenga Wikipedia ya Kiswahili/Report 2021-22
Affiliations Committee Resolutions
[edit]Mipango endelevu (ongoing plans)
[edit]- Kumaliza muswada ya kamusi ya astronomia tuliyoandaa kwenye warsha ya pamoja na ASSAT na Chuo Kikuu Huria
- Mashindano ya picha za kata za Tanzania