Jump to content

Meta:Wasimamizi/Uondoaji (kutotumika)

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Meta:Administrators/Removal (inactivity) and the translation is 100% complete.
Mkato:
WM:A/R
Ukurasa huu unahusu utaratibu wakuondoa wasimamizi wa meta wasiofanya kazi kama ilivyoelezwa kwenye vigezo Iliundwa kujibu mjadala katika Meta talk:Administrators/confirm—Tizama hapa—na kuchukua nafasi ya mchakato wa uthibitishaji wa msimamizi wa awali.

Mapitio rasmi ya msimamizi yanayo fuata yatafanyika tarehe: 1 Oktoba 2024

Kigezo cha kuondolewa

  1. Watumiaji ambao wamefanya mabadiliko chini ya kumi katika miezi sita moja kwa moja kabla ya tarehe ya kuondolewa (aprili 1 au Oktoba 1) huondolewa bila taarifa.
  2. Watumiaji ambao wamefanya mabadiliko zaidi ya kumi lakini chini ya hatua kumi zinazohitaji upendeleo wa msimamizi (kumbuka, hii inajumuisha mabadiliko kwenye kurasa zinazolindwa, n.k.) katika kipindi kama hicho wanapewa wiki kuashiria kuwa wangependa kuhifadhi ufikiaji wao. Watumiaji katika jamii hii watatakiwa kutaarifiwa siku ya kwanza, na usimamizi huondolewa bila taarifa siku ya saba kama hakuna majibu.

Uondoaji wa sasa

Meta:Administrators/Removal (inactivity)/sw/October 2024

Maelezo