watumiaji waliothibitishwa automatiki
Appearance
Habari kuhusu kikundi cha watumiaji kilichothibitishwa kwa moja kwa moja kwenye Meta-Wiki.
Kufikia Desemba 2018, hadhi ya kuthibitishwa kiotomatiki kwenye meta-Wiki hupatikana baada ya siku 4 na hariri 5 (tazama maridhiano yaliyohifadhiwa). Awali, siku 4 baada yausajili ndizo zilikua zikitakiwa ili mfumo upandishe akaunti vyeo kiotomatiki hadi hadhi hiyo. Warasimu wanaweza kuthibitisha akaunti za watumiaji kwa mikono katika baadhi ya matukio. Tazama Meta:Confirmed users
Ruhusa
- View detailed abuse log entries
(abusefilter-log-detail) - Haiwekewi kizuizi na kiwangi cha IP
(autoconfirmed) - Save books as community page
(collectionsaveascommunitypage) - Save books as user page
(collectionsaveasuserpage) - Hariri kurasa zilizozuiwa kama "semi protected"
(editsemiprotected) - Retrieve information about IP addresses attached to revisions or log entries
(ipinfo) - Access a basic view of the IP information attached to revisions or log entries
(ipinfo-view-basic) - Kuhamisha kurasa
(move) - Perform CAPTCHA-triggering actions without having to go through the CAPTCHA
(skipcaptcha) - Reset failed or transcoded videos so they are inserted into the job queue again
(transcode-reset) - View information about the current transcode activity
(transcode-status)
Tazama Pia
- Meta:Watumiaji waliothibitishwa
- Mwongozo:Watumiaji waliothibitishwa kiotomatiki kwenye mediawiki.org.