Jump to content

Mkakati/Harakati za wikimedia/2018-20/Mapendekezo

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Movement Strategy/Recommendations and the translation is 70% complete.
Outdated translations are marked like this.
Mapendekezo ya Harakati za mkakati wa wikimedia 2030

10 Recommendations

Mwaka 2017, tulitengeneza mkakati mwelekeo utakao tuongoza katika harakati zetu hapo baade: Mpaka mwaka 2030,wikimedia itakua kiungo muhimu (miundombinu muhimu) kwenye ikolojia ya maarifa bure,na kila moja atakaye kubariana na maono yetu ataweza kuungana nasi.

Katika kipindi cha miaka miwili,watu kutoka sehemu mbalimbali za harakati zetu wameungana pamoja katika mchakato wa uwazi na shirikishi kujadili namna gani tunaenda kukamirisha hili. Matokeo yake ni fungu la mapendekezo na kanuni za msingi zinazo shauri mabadiriko ya kumuundo na kimfumo yatakayo tusaidia kuijenga kesho ya harakati yetu. walieleza ni kwa jinsi gani tunaweza kuwa endelevo na kwamshikamano. pia walieleza ni kwanamna gani tunaweza kufikia usawa katika maarifa na maarifa kama huduma. kwamana hiyo basi kila mmoja ambae tayari ni miongoni mwa harakati na wale wanaopenda kujiunga wanaweza kuhusika katika kudaka, kubadirishana,na kuwezesha upatikanaji wa maarifa bure.

Mapendekezo ni kama:

Kuongeza uendelevu wa Harakati yetu Kuwekeza katikamaendeleo ya ujuzi na uongozi
Kuboresha mazingira ya mtumiaji Kusimamia/kukuza maarifa ya ndani
Kutoa usalama na ujumuishaji Kutambua mada zenye tija
Kuhakikisha usawa katika kufanya maamuzi Ufumbuzi katika maarifa bure
Uratibu kwa wadau wote Tathimini, Thibitisha na zoea

More than 40 Initiatives

Visual presentation of the initiatives.

Each Recommendation is further broken down into what we call “Initiatives”. These are more detailed areas of work we need to engage in together across the Movement. Some of this work needs to be coordinated. Some of it needs to happen in localized contexts. All of it requires people working together. So, join us! To dive deeper into the Initiatives, please click here.

Namna ya kusoma mapendekezo

Kwenye kurasa zifuatazo,utapata matolea ya mwisho ya hati ya mkakati wa harakati,ikijumuisha mapendekezo kumi (10) na kanuni msingi kumi (10),na maelezo au simulizi ya mabadiriko yanayo eleza namna ya mapendekezo hayo yanavo wiana na kuundwa,kwa ujumla ili kutusaidia kuendana na mwelekeo mkakati. Tazama katika nukuu ya mabadiriko ili kuweza kuona nini kimebadirika kutoka hati ya mwanzo na hii ya toleo la mwisho.

Mapendekezo yafuatayo yanafuata muundo wa ninini, muundo wa busara, mabadiriko na vitendo. Kwanini hiyo ni hitaji lililo tambuliwa kwa mkakati mathubuti. Mabadiriko na vitendo vinatupa matokeo yatakayo tuwezesha kufikia kwaninini hiyo.Na mantiki inajumuisha historia na baadhi ya hoja kwa nini mabadiliko na vitendo vinahitajika kutusaidia kuelekea Mwelekeo wa Mkakati wa 2030. Mapendekezo haya ya shabihiana na kuunga mkono. Hayajawasirishwa kwa mtililiko wa kujua liüi ni mihimu au lipi limepewa kipaumbele zaidi.

Mapendekezo yaliyo undwa na Harakati

Increase the Sustainability of Our MovementImprove User ExperienceProvide for Safety and InclusionEnsure Equity in Decision-makingCoordinate Across StakeholdersInvest in Skills and Leadership DevelopmentManage Internal KnowledgeIdentify Topics for ImpactInnovate in Free KnowledgeEvaluate, Iterate, and Adapt

Matini imeundwa kwa takribani miaka miwili ikijumuisha karibuia watu 100 kutoka pande zote za dunia, ikijumuisha, wamajitoleo, wafanyakazi na wajumbe wa bodi ya ushirika na mradi wa wikimedia na wawakirishi kutoka taasisi rafiki. Imetengenezwa kwa mijadala mubashara na mijadala ya anakwa ana na wanawikimedia,waliochangia na kubadirishana mawazo yao kwenye kila hatua. Imekua ni harakati ya kweli, na jitihada shirikishi. Jifunze zaidi niakinanani walioshiriki mijadara hii.

Je, unataka kujua zaidi matini hii katika muundo mwingine?

Tumetengeneza nanma na njia mbalimbali za kusikiliza, kusoma na kujifunza kuhusu mapendekezo.

Diversity working group member and writing group member Marc Miquel-Ribé has also shared his insights into how the recommendations were developed and the ideas that shaped them in this interview (in English).