Stewards/Elections 2013/Introduction/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Stewards/Elections 2013/Introduction and the translation is 50% complete.
  • Wasimamizi wapya hupigiwa kura karibu mara moja kila mwaka. Wasimamizi hufanya kazi ya kiufundi katika "wiki" zote za Wikimedia kulingana na makubaliano ya kijamii na Sera ya Wasimamizi* kubadilisha fursa ya mtumiaji, kuangalia habari za mtumiaji katika suala la unyanyasaji na vinginevyo (angalia maelezo).
  • Mawasilisho ya wagombea yako wazi kuanzia 15 Januari 2013, 00:00 hadi 28 Februari 2013, 23:59 (saa za Ulaya ya Magharibi). Maswali kwa wagombea yanaweza kuwasilishwa hadi 27 Februari 2013, 23:59 (saa za Ulaya ya Magharibi).
  • Upigaji wa kura utaanza katika 8 Februari 2013, 00:00 na utamalizika katika 27 Februari 2013, 23:59 (saa ya Ulaya ya Magharibi). Wagombea wanapaswa kusoma miongozo na kupigiwa angalau kura 30 pamoja na uwiano wa usaidizi wa 80%. Unaweza kufuatilia matokeo na takwimu zilizokusanywa.