Mawakili/Uchaguzi 2016

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Stewards/Elections 2016 and the translation is 73% complete.
The following discussion is closed: This election is closed and these pages are an archive of that event.
  • Wasimamizi wapya hupigiwa kura karibu mara moja kila mwaka. Wasimamizi hufanya kazi ya kiufundi katika "wiki" zote za Wikimedia kulingana na makubaliano ya kijamii na Sera ya Wasimamizi* kubadilisha fursa ya mtumiaji, kuangalia habari za mtumiaji katika suala la unyanyasaji na vinginevyo (angalia maelezo).
  • Mawasilisho ya wagombea yako wazi kuanzia 15 Januari 2016, 00:00 (UTC) hadi 28 Januari 2016, 23:59 (UTC). Maswali kwa wagombea yanaweza kuwasilishwa hadi (election ends)
  • Upigaji wa kura utaanza katika 08 Februari 2016, 14:00 (UTC) na utamalizika katika 28 Februari 2016, 13:59 (UTC). Wagombea wanapaswa kusoma miongozo na kupigiwa angalau kura 30 pamoja na uwiano wa usaidizi wa 80%. Unaweza kufuatilia matokeo na takwimu zilizokusanywa.

Kielelezo

Candidate Ndiyo Hapana Sio fungamana Maswali Matokeo
BlackBeast Yes No Neutral Questions not elected
Cekli829 Yes No Neutral Questions not elected
Érico Yes No Neutral Questions not elected
Hindustanilanguage Yes No Neutral Questions not elected
Masti Yes No Neutral Questions elected
MIKHEIL Yes No Neutral Questions not elected
NahidSultan Yes No Neutral Questions elected
Richwales Yes No Neutral Questions not elected
Rxy Yes No Neutral Questions not elected
Viswaprabha Yes No Neutral Questions not elected
Confirmation of current stewards

Waliojiondoa

Wagombea wafuatao wamejiondoa kugombea

Candidate Yes No Neutral Questions Result
Defender Yes No Neutral Questions withdrawn
Matiia Yes No Neutral Questions withdrawn
Syum90 Yes No Neutral Questions withdrawn
Tufor Yes No Neutral Questions withdrawn

Walioondolewa kwa kukosa sifa

Wagombea wafuatao wamekosa sifa za kuwa wagombea kwa mujibu wa Miongozo na wameondolewa kabisa

Mgombea Matokeo
Aursani disqualified
Jogi don disqualified
Varg disqualified

Kamati ya uchaguzi

Mawakili huandaa Chaguzi wao wenyewe. The Baraza la Wadhamini Liliidhinisha mwaka 2009 kwamba watajiepusha na uthiishaji wa matokeo ya Uchaguzi mpya. Hata hivyo, mawakili huanzisha kamati ya Uchaguzi kwa kila Uchaguzi ambayo huhusisha wajitoleaji kwa ajili ya kazi ifuatayo:

  • Kufunga Uchaguzi wa Mawakili;
  • Kuthibitisha matokeo ya Uchaguzi, baada ya kuhesabiwa kwa kura zote, mara baada ya kura zote zilizopigwa kwa wagombea kujirisha kwa kila kura ilivyo pigwa;
  • Kwa wagombea wote bwaliochaguliwa;
  • Kufunga uthibitisho wa mawakili;
  • Baada ya uthibitisho wa mawakili, kulingana na uzito wa kijamii, na baadae huamua ama kuthibitisha wao au hapana

Wajumbe

Kusaidia maandalizi ya uchaguzi wa Mawakili 2016, tafadhali angalia ukurasa wa uratibu .
kamaunahitaji msaada, kuwa huru kuuliza kwenye $irc-Njia au Ukurasa wa majadiliano.

Results

Results: The following candidates were elected as stewards:

  1. Masti (talk · contribs)
  2. NahidSultan (talk · contribs)

Tazama pia