Talk:Mpango wa Mwaka wa Shirika la Wikimedia Foundation 2023-2024

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Maoni kuhusu Mpango pendekezwa wa Shirika la WMF kwa mwaka wa Fedha 2023-2024[edit]

Unakaribishwa kutoa maoni yako hapa chini. Baada ya kuandika maoni yako unakumbushwa kuweka sahihi yako kwa kuweka alama nne za ~