Jump to content

Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu/Mapitio ya Mwaka/Ujumbe/Upitiaji umefunguliwa

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Annual review/Messages/Review open and the translation is 100% complete.
Mapitio ya kila mwaka ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu na Miongozo ya Utekelezaji

Ninakuandikia ili kukujulisha kuwa muda wa upitiaji wa kila mwaka wa Kanuni za Maadili na Miongozo ya Utekelezaji umefunguliwa sasa. Unaweza kutoa mapendekezo ya mabadiliko hadi tarehe 9 Februari 2026. Hii ni hatua ya kwanza kati ya kadhaa itakayochukuliwa kwa upitiaji wa kila mwaka. Soma maelezo zaidi na utafute mazungumzo ya kujiunga kwenye ukurasa wa UCoC kwenye Meta.

Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu (U4C) ni kundi la kimataifa linalojitolea kutoa utekelezaji sawa na thabiti wa UCoC. Tathmini hii ya kila mwaka ilipangwa na kutekelezwa na U4C. Kwa maelezo zaidi na majukumu ya U4C, unaweza kukagua Mkataba wa U4C.

Tafadhali washirikishe habari hii washiriki wengine katika jumuiya yako popote inapohitajika.

-- Kwa ushirikiano na U4C, Keegan (WMF) (talk)