Jump to content

Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Election/2025/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Election/2025 and the translation is 42% complete.
Outdated translations are marked like this.
Mkato:
U4CE2025


Universal Code of Conduct Coordinating Committee (U4C)

Ukurasa huu unaelezea mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2025 wa Kamati ya Uratibu wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili.

Kalenda ya matukio

Tafadhali kumbuka tarehe zinazojikita kati ya hatua ya maswali ya jamii na hatua ya kupiga kura.

14 Mei 2025 – 28 Mei 2025, End of Day, AoE ( UTC) Tangazo na wito kwa wagombea wa U4C
28 Mei 2025 – 11 Juni 2025 Maswali ya jumuiya kwa wagombea
3 Juni 2025 – (UTC) Kipindi cha kupiga kura
1 Julai 2025 Tangazo la Matokeo

Wito kwa Wagombea

Kamati ya Uhariri ya Kanuni ya Maadili ya Ulimwenguni (U4C) ni kikundi cha kimataifa kilichojitolea kutoa utekelezaji wa haki na thabiti wa UCoC. Washiriki wa Jumuiya wanaalikwa kuwasilisha maombi yao kwa ajili ya U4C.

Kama ilivyobainishwa na kifungu cha 2.1 cha mkataba wa U4C, kila mwanachama na mgombea lazima:

  • Fuata mataka ya UCoC.
  • Lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi kisha saini makubaliano ya usiri wa habari isiyo ya umma (NDA) na Shirika la Wikimedia mara tu watakapochaguliwa.
  • Hujawahi kuzuiliwa kwenye mradi wowote wa Wikimedia wala huna marufuku ya matukio ya vitendo katika mwaka mmoja uliopita. Wagombea ambao wamefungwa wanaweza kukata rufaa kwa Kamati ya Uchaguzi ya U4C, ambao hawawezi kufanya ubaguzi.
  • Jitambulishe wwenyewe kwa umma kupitia wiki zao za nyumbani na mkoa ambao wanatoka.
  • Wawe wanakidhi mahitaji mengine yoyote ya ustahiki yaliyobainishwa wakati wa mchakato wa uchaguzi.
  • Kuwa mwanachama aliyeandikishwa wa angalau mradi mmoja wa Wiki kwa angalau siku 365 na kuwa na angalau marekebisho 500 mnamo Machi 14, 2025 12:00 UTC.

Tafadhali kumbuka kuwa watu wote wanaotimiza mahitaji ya chini kabisa wanastahili kugombea. Kwa muhtasari wa takwimu za watumiaji wa wagombea, tafadhali angalia mwongozo wa wagombea.

Katika uchaguzi huu, kwa mujibu wa sura ya 2 ya mkataba wa U4C, kuna viti 12 vinavyopatikana kwenye U4C: viti vinane vya jumuiya kwa ukubwa na viti 'nne vya kikanda ili kuhakikisha U4C inawakilisha jamii mbali mbali kukuza usawa.

Nafasi za uchaguzi
Nafasi za kikanda (temu ya miaka 2) Jumuiya kwa ukubwa (temu ya miaka 2) Jumuiya kwa ukubwa (muhula wa mwaka 1)
Ulaya ya Kati na Mashariki (CEE) 4 za juu zenye msaada mkubwa, chini ya 60% 4 ya pili juu zaidi zenye msaada mkubwa, chini ya 60%
Amerika ya Kusini na

Karibiani

Asia Kusini
Kusini mwa Jangwa la Sahara

Uanachama wa U4C ni wa muhula wa miaka miwili, muda wa wawakilishi waliochaguliwa (wawakilishi wa kanda na wawakilishi wa jumuiya kwa ujumla) utaisha Juni 15, 2027 kwa wale waliochaguliwa katika viti vinne vya kanda, na kwa wagombea wanne wa jumuia kwa jumla wanaopokea uungwaji mkono zaidi (kama inavyobainishwa na vigezo vilivyowekwa kwa ajili ya uchaguzi, angalia Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Charter#2.4. Elections). Wanachama wanne waliosalia wa jumuiya kwa ujumla ambao watafikia kiwango kinachohitajika cha kuchaguliwa watachaguliwa kuhudumu kwa muda wa mwaka mmoja unaoisha Juni 15, 2026. Katika kesi ambapo wanachama wasiozidi 12 watachaguliwa, wagombea wote waliochaguliwa kwenye kiti cha mkoa watatunukiwa mihula ya miaka miwili, huku hadi wagombea wanne wa jumuiya kwa ujumla watatunukiwa muhula wa miaka miwili.

Taarifa zaidi kwa wagombea

Uzoefu: Wagombea waliofaulu mpaka sasa wamekuwa na zaidi ya hariri 5000 (katika miradi yote) na wanashikilia usimamizi au nyadhifa zingine za kina kwenye mradi.

Time commitment: The expected time commitment is around 7 hours per week. There are also, on average, two voice meetings for the whole committee per month; members working on a particular case or initiative may also choose to hold a meeting.

Communication: Per the UCoC, English knowledge is not required. While, the committee currently communicates primarily in English, committee members work to support any members with lower levels of English knowledge. Committee work currently happens primarily on the U4C wiki and Discord; UCoC members also need access to the Volunteer Response Ticketing system.

Anticipated work: Over the next year, the U4C will continue to establish systems and processes in order to handle its preventive and responsive work. Additionally there has been a steady increase in U4C cases over the past year and this is expected to continue increasing. Candidates are encouraged to read past cases to learn more about the kinds of requests the U4C receives. There is a lot of opportunity for U4C members to work on other initiatives that interest them within the U4C's jurisdiction.

Questions for candidates

Eligible voters can ask questions to all candidates on the Questions page. Voters are asked to post no more than 2 (two) relevant questions per candidate (in total; i.e. all questions a candidate needs to answer are counted), and keep them as concise and relevant as possible. Candidates are asked to answer as briefly and simply as possible.

Campaigning rules

Candidates are asked to review and comply with the campaigning rules throughout the election.

Nominations

Please visit the candidates page to see the candidates.

Voting

Voting process

  • Voting is conducted by secret ballot, with voters leaving support, oppose and neutral votes for each candidate.
  • Voters are able to vote for candidates from all regions.
  • Neutral votes will not count.
  • Voter eligibility will be decided by the Elections Committee (created by the U4C).
  • The candidate must have 60% or higher of votes as calculated by support/(support + oppose). After this qualification:
    • For each candidate the number of opposes will be subtracted from the number of supporters. The candidates with the highest difference will be elected to each seat.
    • If two candidates have the same difference then the percentage calculated by support/(support + oppose) will be used as a tiebreaker.

Voter eligibility

Please review the voter eligibility criteria to find out whether you are eligible to vote.

Special:SecurePoll/vote/403

The AccountEligibility tool can be used to quickly verify basic editor voting eligibility.

If you are eligible to vote:

  1. Read the candidates’ information.
  2. Decide which candidates you will support.
  3. Go to the SecurePoll voting page.
  4. Follow the instructions on that page.

Candidates guide

The guides and statistics to the different candidates are on the Candidates guide page.

Election Committee

Per the U4C Charter, the U4C is responsible for running this election. The members of the election committee for this election are:

To contact the election committee, please email u4c(_AT_)lists.wikimedia.org.

Results

Regional seats:

Community-at-large seats:

Notes