User:Keegan (WMF)/EGCharter closing/sw
Pigia kura mapendekezo ya marekebisho ya Miongozo ya Utekelezaji ya UCoC na Mkataba wa U4C
Kipindi cha kupigia kura marekebisho ya Mkataba wa Utekelezaji wa Kanuni za Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili na U4C itafungwa tarehe 1 Mei 2025 saa 23:59 UTC (angalia kwa saa za eneo lako). Soma maelezo kuhusu jinsi ya kushiriki na kusoma pendekezo kabla ya kupiga kura kwenye ukurasa wa UCoC kwenye Meta-wiki.
Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (U4C) ni kikundi cha kimataifa kinachojitolea kutoa utekelezaji sawa na thabiti wa UCoC. Tathmini hii ya kila mwaka ilipangwa na kutekelezwa na U4C. Kwa maelezo zaidi na majukumu ya U4C, unaweza kuupitia Mkataba wa U4C.
Tafadhali washirikishe ujumbe huu wanajumuiya wenzako katika lugha yako, kadri utakavyoona inavyofaa, ili waweze kushiriki pia.
Kwa ushirikiano na U4C --