Jump to content

User:Keegan (WMF)/U4C eligible voter/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page User:Keegan (WMF)/U4C eligible voter and the translation is 100% complete.
Unaweza kuwa na haki ya kupiga kura katika uchaguzi wa U4C

Nakutumia ujumbe huu kwa kuwa ulipiga kura katika uchaguzi uliopita uliohusu halmashauri ya kuratibu kanuni za mwenendo duniani (U4C). Unaweza kuwa na ushtahiki wa kupiga kura katika uchaguzi wa U4C unao endelea hivi sasa na utatamatika 2 Juni 2026. Unaeza pata maarifa kuhusu wagombeaji na uchaguzi katika ukurasa wa uchaguzi ulio kwenye Meta na pia ya fursa kupata kura yako. Ushiriki wako katika uchaguzi huu ni muhimu kwa maana una athiri uwongozi wa jamii za Wikipedia, na muda uliotumia kusoma kuhusu wagombeaji na kupiga kura unathaminiwa.

-- Kwa ushirikiano na U4C,