Wikimedia Foundation Board of Trustees/Wito wa maoni: Chaguzi za Bodi ya Wadhamini/Jadili Maswali Muhimu

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Viungo vya majadiliano kwa kila swali viko hapa chini. Tafadhali jadili maswali katika sehemu hizo ili kila mtu aone kile kinachojadiliwa kuhusu swali hilo. Ikiwa mazungumzo yanafanyika mahali pengine, tafadhali yaorodheshe kwenye jedwali la mazungumzo hapa chini.

Wanajamii wanahimizwa kuongeza suluhu zilizopendekezwa kwa maswali. Tafadhali jadili masuluhisho kwa muda mfupi kwanza kisha upendekeze masuluhisho na uyaunganishe chini ya kila swali. Kwa njia hii wanajamii wengine wanaweza kushirikiana katika suluhu zilizopendekezwa.

Maswali

  1. Ni ipi njia bora ya kuhakikisha uwakilishi tofauti zaidi kati ya wagombea waliochaguliwa? (Jadili swali hili)

Mapendekezo yanayohusiana na swali hili

Ongeza pendekezo lako hapa

  1. Nini matarajio ya wagombea wakati wa uchaguzi? (Jadili swali hili)

Mapendekezo yanayohusiana na swali hili

Ongeza pendekezo lako hapa

  1. How should affiliates participate in the elections? (Jadili swali hili)

Mapendekezo yanayohusiana na swali hili

Ongeza pendekezo lako hapa
  • Have a process determined by affiliates collectively. There is no good reason to exclude affiliates for two main reasons. Firstly, we have a significant decentralisation (regions, hubs) movement which affects mainly affiliates but almost not online communities. Secondly, affiliates were involved in the MCDC election just a few months ago, affiliates is almost the only one without strong English Wikipedia domination, thus removing this group would be disappointing diversity-wise. I think asking affiliates to come up with the (s)election process is the most sensible way to move forward — NickK (talk) 22:59, 16 February 2022 (UTC)[reply]

Other proposals

Orodha ya mijadala

Hii ni orodha ya mazungumzo ya awali, ya sasa na yaliyopendekezwa yaliyopangwa katika muktadha wa Wito wa maoni: Uchaguzi wa Baraza la Wadhamini. Ikiwa unapanga mazungumzo, tafadhali yaorodheshe kwenye jedwali hili.

Orodha ya mijadala
Tarehe Jina la mradi Kiungo cha majadiliano Mwezeshaji Vidokezo
Kinachoendelea Meta-Wiki Discuss the key questions Movement Strategy and Governance team Chapisha kwa lugha yoyote