Jump to content

Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia Foundation/2025/Tangazo/Kipindi cha kupiga kura kinakaribia kufungwa

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2025/Announcement/Voting period to close and the translation is 100% complete.

Zimebaki saa 24: Kipindi cha upigaji kura cha uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini 2025 kufungwa

Habari,

Kumbusho kwamba kipindi cha upigaji kura cha uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini kwa mwaka huu kitafungwa ndani ya saa 24. Kama bado hujapiga kura, hakikisha unatoa maoni yako kwa kutembelea ukurasa wa SecurePoll na upige kura sasa. Asante kwa kila mtu ambaye ameshapiga kura.

matokeo ya awali yatatangazwa wiki chache baada ya wakaguzi kukamilisha kazi yao. Uteuzi rasmi wa Wadhamini wapya utafanyika wakati fulani mnamo Desemba 2025. Habari itakayotolewa wakati wa uchaguzi itachapishwa ambapo matokeo ya mwisho yatakapotangazwa.

Upigaji kura utafungwa saa 23:59 UTC mnamo Oktoba 22, 2025.

Kila la kheri,

Abhishek Suryawanshi
Mwenyekiti, Kamati ya Uchaguzi