Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia Foundation/2025/Miongozo ya wagombea
Appearance
Wagombea lazima:
- Wazingatie Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili na waheshimu Sera ya Nafasi Rafiki;
- Wachapishe maudhui kuhusu ugombea wao na matukio ya uchaguzi pekee katika nafasi za mtandaoni ambapo yanakaribishwa na waandaaji wa nafasi;
- Wajiibu maswali yote yanayohitajika katika maombi ili kustahiki ugombea.
- Wafichue hali zozote zinazofikiriwa, zinazowezekana, au hali halisi za maslahi ambazo zinaweza kuathiri kazi yao katika mfumo wa ikolojia wa harakati za Wikimedia;
- Wafanye kampeni kama mtu binafsi, si kama kundi la wagombea; na
- Wafuate sheria za kushiriki katika matukio kama zilivyowekwa na waandaaji wa matukio (yaani, ikiwa waandaaji watawauliza wagombea wasifanye kampeni, basi hilo lazima liheshimiwe).
Wagombea wanatarajiwa:
- Kuhudhuria Mazungumzo na Wagombea kikao kilichoandaliwa na Kamati ya Uchaguzi kama ilivyoratibiwa na wagombea.
Wagombea lazima:
- Kuhudhuria mikutano ya jumuiya ya Baraza la Wadhamini inayolenga uchaguzi[1] bila idhini ya awali kutoka kwa Kamati ya Uchaguzi. Kamati kwa kawaida itaidhinisha mahudhurio katika matukio lakini inaweza kuweka vikwazo ikiwa asili, ukubwa, au idadi ya matukio hayatakuwa ya haki kwa wagombea wengine. Maombi ya kuhudhuria lazima yafanywe kwa wakati unaofaa mapema.
- Kutumia taarifa zao za mgombea[2] ili kuunga kwa orodha za kuunga mkono au maudhui yanayokusudiwa kukwepa idadi ya maneno (k.m. blogu, Hati za Google, kurasa, n.k.).[3]
Reporting violations of these guidelines
An election violation report (“complaint”) should cover the following information:
- Which candidate(s) violated the campaign rules;
- When the violation happened/first observed;
- Whether the violation happened online, offline, in a space hosted by a third party, or a mix of spaces;
- Any evidence supporting the complaint
- Preferably linking to the original source of that material
- Screenshots can be provided if original source is not accessible publicly
- A summary of the reasoning for the submission of this complaint.
Credibility and verifiability of a complaint should be investigated thoroughly. To help the Elections Committee in quickly assessing whether a complaint is credible or not, complainants are encouraged to state which campaign rule(s) that they allege the candidate has violated – although this is not a requirement, since the Elections Committee is ultimately responsible to decide on which violation(s) that they will charge to the candidate. Complaints that are known to be submitted in bad faith will not be entertained.
Complaints may be submitted to:
- electcom
wikimedia.org; or - through an on-wiki submission at Talk:Elections Committee
Vidokezo
- ↑ Inayojumuisha mikutano ya mtandaoni na ana kwa ana
- ↑ Kumbuka kuwa kiolezo kilichotolewa kitaunga kwa kila ukurasa wa mtumiaji wa mgombea
- ↑ Wagombea wanaruhusiwa kuunganisha kwa kurasa husika, ikijumuisha ndani ya miradi ya Wikimedia na wasifu wao wa kitaaluma (k.m. kurasa za wafanyakazi, LinkedIn, n.k.)
