Wikimedia Foundation elections/2025/Translation - SecurePoll/sw
Appearance
Uchaguzi huu utachagua wagombea 2 (wawili) kwenye Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia Foundation.
- Jifunze zaidi kuhusu wagombea
- Yote unayohitaji kujua kama mpiga kura
- Jifunze jinsi ya kutumia kura moja inayoweza kuhamishika
Other material
- title: Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation 2025
- jump-text: Kura itafanyika kwenye eneo kuu la mradi wa wiki. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kuhamishwa.
- return-text: Tovuti ya uchaguzi ya Wikimedia Foundation 2025
- unqualified-error: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa usaidizi kwa mpigakura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unastahiki.
- candidates: Wagombea wa bodi