Jump to content

Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia/Uchaguzi wa Bodi 2013

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/Board elections/2013 and the translation is 100% complete.
Info The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted.

The results were announced on 24 June 2013.

Help translate the election.

Jinsi ya upigaji kura

Kama unasifa ya kupiga kura:

 1. Soma maelezo ya wagombea (wanaoonekana upande wa kulia wa ukurasa) na kuamua wagombea ambao utawaunga mkono.
 2. Nenda kwenye ukurasa wa wiki "Maalum: Salama Kura ya Maoni" katika wiki, una haki ya kupiga kura. Kwa mfano, kama wewe ni hai katika ukurasa wa wikipedia ya kiingereza, nenda kwenye en: Maalum: SecurePoll/vote/330. (Kama una unaweza Unified login, unaweza kutambua akaunti yako kuu katika Special: CentralAuth.) </ dogo> </ dogo>
 3. fuata maelekezo.
Ungali na tatizo la upigaji kura? Bofya hapa.

Uchaguzi wa Baraza la wadhamini mwaka 2013 utafanyika kuanzia tarehe 8 hadi 22 mwezi Juni mwaka 2013. Wanachama wa jumuiya ya Wikimedia watapata fursa ya kuchagua wagombea watatu ambao watafanya kazi kwa kipindi cha miaka miwili ambacho kitakamilika mnamo mwaka wa 2015. Bodi ya wadhamini ndiyo yenye mamlaka makuu katika Wikimedia Foundation, shirika lisilokuwa la kifaida lenye usajili nchini Marekani. Shirika la Wikimedia linasimamia miradi mingi mbali mbali kama vileWikipedia na Commons.

Kamati ya Uchaguzi itatangaza matokeo mnamo au kabla ya tarehe 22, juni 2013. matokeo yote yatatangazwa.

Maelezo ya wagombea

Uchaguzi wa wajumbe wapya wa Bodi lazima ukidhi haja ya matakwa ya kazi za Bodi ya WMFduty of care. Bodi lazima itende kazi zake kwa maantiki, pasina ubabaishaji tena kwa kuwa namtu ambaye ni mwangalifu katika namna yoyote ile. jukumu la uangalifu, kwa mfano, kuwa na uangalifu wakati wa uteuzi wa wajumbe wenye sifa ya kufaa kuwa katika Bodi ambao hata kama watachaguliwa hawaleta sifa mbaya kwenye Bodi.

Wale wote ambao wanafikiria kugombea wanatakiwa kukisoma na kuelewa yaliyomo kwenye board manual

Wajibu na majukumu ya mjumbe wa Bodi

Kutoka katika kwenye maelezo ya Bodi

Baraza la wadhamini ndicho chombo chenye mamlaka ya juu cha Shirikia la Wikimedia. wajibu mwingine wa Bodi ni pamoja na:

 • kupanga mipango, Malengo, mpango wa muda mrefu pamoja na kuandaa sera za hali ya juu za miradi ya WMF
 • kufanya uteuzi wa Mkurugenzi mtendaji wa WMF, ambae ndie msimamizi wa kazi za kila pamoja na kufanya tathmini ya utendaji wa Shirikka
 • kuhakikisha uendelevu wa Shirika kwa vyanzo vya mapato
 • kufanya mawasiliano kuhusiana na kazi za jumuiya ya WMF
 • kutoa maelekezo kwa watumishi katika kufanya majumuisho ya bajeti na utaratibu
 • kusimamia sheria na maadili
 • kuanza kufikiria namna ya kuwa na wadhamini wapya
 • kufanya ama kueneza mipango ya WMF ili ifahamike kwa watu wengi zaidi

Majukumu ya Bodi hayatahusisha:

 • Kufanya kazi za uendeshaji wa kila siku isipokuwa tu pale inapotokea dharula
 • kutengeneza sera ya uhariri wa miradi ya Wikimedia
 • kufanya uitatuzi wa migogoro
 • kufanya majitoleo ya kazi za kawaida za WMF

Masharti ya kugombea

Mgombea lazima awe tayari, awe na uwezo wa kufanya kazi za Bodi pamoja na za kamati, pamoja na kutumia muda wa ziada kulingana na mahitaji , kutoa maamuzi kwa nia njema, kuhudhuria vikao vya Bodi vya maamuzi. Masharti yaliyo katika wagombea ni sawa na yale ya wapiga kura (tazama Maelekezo ya mpiga kura), pamoja na maelekezo ya ziada:

 • uwe hujawahi kufungwa kwa makosa ya jinai au kosa lolote linalihusisha makosa ya kusema uongo au kuingilia haki ya mtu mwingine;na
 • uwe hujawahi kuondolewa katika kazi za shirika lisilo la kiserikali ama kampuni kwa makosa ya kuharibu mali au utumiaji mmbaya wa mali;na
 • katika kipindi cha kutangazwa au uchaguzi, usiwe umefungiwa au umesimamishwa kushiriki katika uchangiaji wa miradi ya Wikimedia katika kipindi kinachofikia siku thelathini au zaidi;na
 • lazima uwe umeandika jinalako harisi katika kipindi chote cha kuomba kugombea (kwa sababu utambuzi wa wajumbe wa ni muhimu ukawa bayana kwa ajili ya kumbukumbu kwa umma, haiwezekani kuwa kiongozi wa Bodi ya wadhamini kwa kuitwa jina la kificho);na
 • uwe angalau na miaka 18 ama umri unaotambulika kisheria katika nchi yako;na
 • Wasilisha ushahidi wa uthibitisho wako kwa shirika la Wikimedia (tafadhari tazama hapa chini). Isipokuwa: wajumbe wa barza wanaomaliza muda wao hawahitajiki kufuata masharti ya;liyotajwa hapo juu.

Namna ya uwasilishaji maombi ya kugombea

Kama ni mgombea, unaweza kuwasilisha maombi yako kwa njia ifuatayo: # andika melezo yako kwa maneno yasiyozidi 1200 ukianza kueleza utakacho kifanya kama utachaguliwa kwenye Baraza la wadhamini, kutoa maoni yako pamoja na uzoefu wako, na kitu chochote ambacho wewe unadhani ni muhimu. Usitumie maelezo yako ya kugombea katika orodha ya viambatanisho slate kwa wagombea wengine. # Wasilisha maelezo yako kati ya saa 00:00, April 24th 2013 (UTC) na 23:59, May 17th 2013 (UTC). Hati yako ya maelezo itabadilika ndani ya siku tatu baada ya kuwasilisha, au mpaka tarehe 17, May th, kwa kadri yatakavyo wahi, isipokuwa tu kama kunamasahihisho madogo madogo (kwa mfano, marekebisho ya herufi) au tafsili. Mabadiliko yoyote ambayo yatabadilishwa kama yalivyo wasilishwa awali baada ya muda uliowekwa kupita yatapewa muda na kuwasilishwa sanjali na yale ya awali,, na yatawasilishwa kwa wapiga kura kama yatakuwa yameshatafsiliwa kama yalivyo kuwa katika maelezo nya yaliyotafsiliwa awali. Ieleweke kwamba kuwasilishwa awali kutasaidia uwepo wa kutafsiliwa kwa lugha nyingi zaidi, na endapo yatawasilishwa kwa muda mfupi basi kwa vyovyote hayatatafisliwa. # wasilisha utambulisho wako Wikimedia kabla ya saa 5:59 usiku wa tarehe 17, may 2013. Kamati ya Uchaguzi itawasiliana na wewe moja kwa moja endapo utaliandikisha jina lako wewe mwenyewe kama mgombea.

Wagombea ambao watashindwa kutimiza matakwa yaliyoainishwa hapo juu pamoja na kutozingatia muda wataenguliwa

====Uwasilishaji wa uthibitisho wa utambulisho katika Shirika la Wikimedia

wagombea kwa nafasi hii lazima wawasilishe utambulisho na ushahidi wa umri wao kama mashariti ya kugombea. Uthibitisho huo uwasilishwe kama ifuatavyo:

 • nalaka au cheti cha uderva kilichofanyiwa scan.

Nakala au hati ya kusafiria iliyofanyiwa scan.

 • nakala ya nyaraka zozote zinazoonyesha jina halisi na umri.

Vitu vyote hivi viwasilishwe kwa njia zifuatazo:

 • kupitia barua pepe: secure-info(_AT_)wikimedia.org
 • kupitia ya:Nukushi+1415 882 0495
 • kupitia sanduku la posta:
Wikimedia Foundation inc.
ATT: PHILIPPE BEAUDETTE
149 New Montgomery Street, 3rd Floor
san francissco, 94016
USA
 • Elewa kwamba Posta si njia iliyopendekezwa.kwa vyovyote barua ikifika nje ya muda uliowekwa haitakubaliwa baada ya tarehe 17, may 2013 saa 5:59 usiku(UTC)

Shirika

Ratiba ya wakati

 • Tarehe 24,April-17, May 2013, Wagombea kufanya mawasilisho
 • Tarehe 17, may 2013. Mwisho wa kutuma uthibitisho wa utambulisho(kushindwa kuwasilisha ama kukosekana kwa vielelezo mawasilisho yote yatakuwa batili)
 • Tarehe8-22, June 2013: uchaguzi
 • Tarehe 23-25, June 2013 kuhakiki kura
 • Tarehe 25-28, june 2013 kutangaza matokeo