Jump to content

Tukio:Kliniki ya Mafunzo juu ya Zana ya Usajili wa Tukio

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Event:Learning Clinic on Event Registration Tool and the translation is 100% complete.
LocationOnline event
Start and end time16:00, 29 May 2024 – 18:00, 29 May 2024
Timezone: +00:00
Number of participants92 participants

Learning Clinic on Event Registration Tool

Start and end time

16:00, 29 May 2024 to 18:00, 29 May 2024
Timezone: +00:00

Location

Online event

Let's connect
Let's connect

Imeandaliwa na Let's Connect kwa kushirikiana na Timu ya Bidhaa ya Kampeni WMF.

Maelezo ya Tukio

Nafasi hii itaturuhusu kuthibitisha ushiriki wako mnamo 29 Mei 2024, 4pm-6pm UTC tunapojitayarisha kufanya uzoefu wako kuwa bora na Watoa mada wetu; Ilana Fried, Benedict Udeh, na Euphemia Uwandu kutoka Timu ya Bidhaa za Kampeni, Shirika la Wikimedia Foundation. 😎

👉 Kliniki hii ya Kujifunza ni inahusu nini?

  • Kliniki ya Mafunzo imeundwa kutambulisha zana ya Usajili wa Tukio na manufaa yake kwa waandaaji na washiriki.
  • Kliniki hii itaonyesha jinsi ya: kuunda kurasa katika sehemu za wiki za tukio, kuwezesha usajili kwenye kurasa zako za tukio, kudhibiti orodha yako ya washiriki, kufikia haki za kuwa Mwandaaji wa Tukio, na zaidi!
  • Kutoa hatua za jinsi ya kuungana na waandaaji wengine na timu ya Kampeni kwa kushirikishana ujuzi na maendeleo ya mtu kibinafsi.

👉 Ninahitaji kutayarisha nini? 🧠

Maandalizi:

Let's connect 36
Let's connect 36

Kliniki hii ya mafunzo inawalenga Waandalizi wanaoendesha shughuli za ndani kwa ajili ya kampeni ya WikiForHumanRights 2024, ikijumuisha kampeni nyinginezo za harakati pamoja na Wanawikimedia ambao wana nia ya kuandaa matukio. Kipindi hicho kitapatikana kwa Kiingereza na tafsiri yake katika Kireno, Kifaransa, Kiarabu, na Kihispania.

  • Hakuna mafunzo ya awali yoyote yanayohitajika! hata hivyo, unahimizwa kuchunguza zana ya Usajili wa Tukio na vigezo vyake kabla ya kliniki, ikiwezekana, ili kuelewa muktadha.
  • Tayarisha maswali au hali zozote ambazo zinahitaji ufafanuzi ama pengine unataka kuchunguza uwezo zaidi wa zana.

Hii hapa taarifa ya faragha iliyochapishwa kuhusu jinsi tunavyotumia maelezo yako kwenye zana ya usajili wa tukio.