Jump to content

Event:Saa ya Ofisi ya Zana za Mratibu 5/Kipindi A

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Event:Organizer Tools Office Hour 5/Session A and the translation is 88% complete.
Outdated translations are marked like this.
LocationOnline event
Start and end time12:00, 7 October 2023 – 13:30, 7 October 2023
Timezone: +00:00
Number of participants67 participants

Organizer Tools Office Hour 5/Session A

Start and end time

12:00, 7 October 2023 to 13:30, 7 October 2023
Timezone: +00:00

Location

Online event

Join event chat group

No chat group is available for this event.

Tafadhali jiunge na timu ya Kampeni katika Shirika la Wikimedia kwa saa za kazi mnamo OKTOBA 7, 2023 (Tazama tarehe na saa hii katika saa za eneo) kwenye zana za mratibu! Katika saa hizi za kazi, tutaelezea kazi yetu na kukusanya maoni kutoka kwa Wanawikimedia, ili tuweze kujifunza zaidi kuhusu jinsi tunavyoweza kuboresha tukio la kampeni. Baadhi ya mipango ya saa hii ya ofisi ni pamoja na:

  • Jifunze kuhusu zana ya usajili wa tukio, ili uweze kutumia zana katika matukio yako
  • Tazama onyesho la vipengele vipya zaidi vya zana ya usajili wa tukio, ambavyo ni pamoja na:
    • Kuunganishwa na Dashibodi ya Mipango na Matukio
    • Mratibu anaweza kutuma barua pepe kwa washiriki
    • Washiriki wanaweza kujibu maswali ya hiari kuhusu wao wenyewe
  • Shirikisha mawazo na maoni yako kwa mradi wetu ujao wa ugunduzi wa tukio

Jaribisha zana ya usajili wa tukio sasa!

Unaweza kujaribu zana ya usajili wa tukio sasa kwa kujiandikisha kwa saa hii ya ofisi! Ili kufanya hivyo, bofya kitufe cha "Jiandikishe kwa tukio" juu ya ukurasa.

Nani atawasilisha saa za kazi?