Jump to content

Event:Sandbox/Wiki Wadudu

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
LocationOnline event
Start and end time06:00, 24 June 2024 – 06:00, 30 June 2024
Timezone: +00:00
Number of participants1 participant

Sandbox/Wiki Wadudu

Organized by: AMtavangu (WMF), Jadnapac

Start and end time

06:00, 24 June 2024 to 06:00, 30 June 2024
Timezone: +00:00

Location

Online event

The link will be made available by the organizers.

Join event chat group

No chat group is available for this event.

1 participant

Utangulizi[edit]

Wadudu ni viumbe wa kusataajabisha sana ulimwenguni.Wadudu ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insekta.Wadudu wanashirikiana kuwa na muundo wa mwili chenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na fumbatio nyuma, halafu jozi tatu za miguu na kwa kawaida jozi mbili za mabawa. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa khitini yenye kazi ya kiunzi nje.

Historia[edit]

Hadi sasa wataalamu waliainisha zaidi ya spishi milioni 1 za wadudu na makadirio ni kwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.Wadudu wanaishi takriban kila mahali duniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za tropiki na idadi inapungua kwenye baridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana Antaktika. Wadudu ni wachache sana baharini lakini hata humo kuna spishi chache.

Makala[edit]

  1. Katika warsha hii, tutaandika makala kuhusu:
  2. Nzige
  3. Nyuki-bungu mdogo
  4. Amydria
  5. Kichuguu
  6. Pupa

Viungo muhimu[edit]