Kigezo:Rasimu ya Mkataba wa Harakati
Appearance
Outdated translations are marked like this.
Hili ni toleo la mwisho la Mkataba wa Harakati wa Wikimedia, uliochapishwa mnamo Juni 10, 2024. Toleo la Kiingereza limeshirikishwa kwanza ili kuipa jamii muda zaidi wa kuhakiki andiko, na kwa sasa kandarasi za kutafsiri zimetolewa katika lugha zifuatazo, kwa lengo la kuweza kukamilika kufikia Juni 18, 2024: Kiarabu, Kicheki, Kiajemi, Kifaransa, Kijerumani, Kihausa, Kihindi, Kiigbo, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kikorea, Kimandarin, Kipolandi, Kireno, Kirusi, Kihispania, Kiswahili, Kithai, Kituruki, Kiukreni. , na Kivietinamu. Kura ya kimataifa ya Wikimedia ya kuidhinisha mkataba huu itafunguliwa kuanzia Juni 25 hadi Julai 9, 2024. There is a .pdf version of the English text available for those who prefer it in the format. You can also listen to audio versions of the text in English and several other languages. |