Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili/Kamati ya Uratibu/Uchaguzi/2024/Tangazo- Matokeo

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Kutangaza Kamati ya Kwanza ya Kuratibu Kanuni za Maadili za kwa wote

Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language

Habari,

Wachunguzi wamemaliza kukagua matokeo ya kura. Tunafuatilia matokeo ya uchaguzi wa kwanza Kamati ya Kuratibu Kanuni za Maadili kwa Wote (U4C).

Tunafurahi kutangaza watu hawa kama wanachama wa kikanda wa U4C, ambao watahudumu kwa muda wa miaka miwili:

 • Amerika ya Kaskazini (Marekani na Kanada)
  • [username]
 • Ulaya ya Kaskazini na Magharibi
  • [username]
 • Amerika ya Kusini na

Karibiani

  • [username]
 • Ulaya ya Kati na Mashariki (CEE)
  • [username]
 • Kusini mwa Jangwa la Sahara
  • [username]
 • Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
  • [username]
 • Mashariki, Kusini Mashariki mwa Asia na Pasifiki (ESEAP)
  • [username]
 • Asia Kusini
  • [username]

Watu wafuatayo wamechaguliwa kuwa washiriki wa jamii ya jumla ya U4C, wakihudumu kwa muda wa mwaka mmoja:

 • [username]
 • [username]
 • [username]
 • [username]
 • [username]
 • [username]
 • [username]
 • [username]

Asante tena kwa kila mtu ambaye alishiriki katika mchakato huu na shukrani nyingi kwa wagombea kwa uongozi wao na kujitolea kwa harakati ya Wikimedia na jamii.

Wiki chache zijazo, U4C itaanza kukutana na kupanga mipango ya mwaka 2024-25 katika kusaidia utekelezaji na uhakiki wa UCoC na Miongozo ya Utekelezaji. Fuata kazi yao kwenye Meta-wiki.

Kwa niaba ya Timu ya Mradi wa UCoC,