User:BlessNathan

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Habari yako rafiki!

Karibu mno katika ukurasa wa BlessNathan ambaye ni mhariri wa wikipedia wa makala mbalimbali za kijamii. Mhariri huyu ni mtaalamu wa tarakilishi (kompyuta) na TEHAMA katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.