User:Vinny255
Appearance
My name is Vinny, a Wikimedian from Tanzania. I joined the movement in 2023, contributing by editing Swahili articles. I am also a new photographer, sharing images to support free knowledge and represent Tanzania on Wikimedia projects.
Jina langu ni Vinny, Mwikimedia kutoka Tanzania. Niliungana na harakati hizi mwaka 2023, nikichangia kwa kuhariri makala za Kiswahili. Pia ni mpiga picha mchanga, nikipachika picha kusaidia maarifa huru na kuwakilisha Tanzania katika miradi ya Wikimedia.