WMDOC/Cheatsheet/sw
Lugha nyingine: ar | ast | ba | ca | de | el | en | eo | es | eu | fr | gsw | hu | id | it | ja | lt | jv | ko | ms | pl | pt | mr | nl | ro | ru | sah | sl | sv | sw | tr | tt | udm | yue | zh-hans | zh-hant | +/-

Wikipedia Cheatsheet
[edit]Mtu yeyote anaweza kuchangia katika kamusi elezo ya wiki. Jambo hili linawezekana kutokana na kamusi elezo ya wiki kutumia teknolojia ya wiki: Unachotakiwa kufanya ili uchangie ni kubonyeza sehemu iliyoandikwa "hariri" hapo juu na kisha unaanza kuandika. Ukurasa huu unakupa maelezo ya namna ya kufanya.
| Maandishi ya wiki | Matokeo |
| ''italiki'' | italiki |
| '''wino mzito''' | wino mzito |
| '''''wino mzito na italiki''''' | wino mzito na italiki |
|
==vichwa== |
Vichwa katika ukubwa tofauti |
| [[Link to another page]] [[Link|different title]] |
Kiungo cha ndani cha ukurasa mwingine wa wiki |
|
http://www.example.org |
Kiungo cha nje Kiungo chenye maelezo |
| [[fr:Page en français]] | Kiungo cha wiki ya Kifaransa (iko chini ya “lugha“) |
| [[Category:Example]] [[Category:Cheatsheet]] | Ongeza makala katika kundi la “mfano“ |
|
---- |
mstari tambarare/mshazari |
|
* moja |
Orodha yenye vitufe/risasi |
|
# moja |
Orodha yenye namba |
| [[Image:File.jpg|Text]] [[Image:File.jpg|frame|Text]] |
Picha yenye maandishi mbadala Picha iliyokaa kulia yenye maelezo |
| [[Media:File.ogg]] | Kiungo cha kupakua |
| {{Name}} | Jumuisha Kigezo “Jina“ |
| --~~~ | Saini (kiungo cha ukurasa wa mtumiaji) |
|
--~~~~ |
Saini na saa |
| #REDIRECT [[Other article]] | Peleka kwenye makala nyingine |