Jump to content

Wikimedia Foundation elections 2015/MassMessages/Voter e-mail/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections 2015/MassMessages/Voter e-mail and the translation is 75% complete.

Mpendwa $USERNAME,

Unastahiki kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka wa 2015 wa Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation, inayoendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECTS. Bodi ya Wadhamini ndicho kitengo kifanyaji maamuzi ambacho kinawajibika kwa uendelevu wa muda mrefu wa Asasi, hivyo basi tunathamini michango tofauti katika uchaguzi wake.

Awamu ya upigaji kura inadumu kuanzia saa 00:00 UTC Mei 17 hadi saa 23:59 UTC Mei 31. Ili kupiga kura, nenda kwa <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:SecurePoll/vote/339?setlang=sw&uselang=sw>. Taarifa Zaidi kuhusu uchaguzi huu inaweza kupatikana katika <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Foundation_elections/Board_elections/2015>. Ili kujiondoa kutoka kwa arifa za siku zijazo, tafadhali ongeza jina lako la utumizi katika <https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.