Abstract Wikipedia/Wikifunctions logo concept/Vote message/sw
Appearance
Hello. Tafadhali nisaidie kuchagua dhana ya muundo wa nembo ya wiki mpya ya Wikifunctions. Upigaji kura unaanza leo na utafunguliwa kwa siku 14. Ikiwa ungependa kushiriki, basi tafadhali jifunze zaidi na upigie kura sasa huko Meta-Wiki. Thank you! --Quiddity (WMF)