Grants:MSIG/Announcements/2021/Global message/sw
Appearance
Jifunze jinsi Ruzuku ya Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati inavyoweza kusaidia mipango yako ya Mkakati wa Harakati
Ruzuku za Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati sasa inatoa zaidi ya $ 2,000 USD katika shuguli zinazohusiana na utekelezaji wa Mkakati wa Harakati kwa vitendo. Pata maelezo zaidi kuhusu Ruzuku za Utekelezaji wa Mkakati wa Harakati, vigezo, na jinsi ya kuomba.