Grants:PEG/Criteria/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Grants:PEG/Criteria and the translation is 17% complete.
Outdated translations are marked like this.

Maombi ya ruzuku yalenge kusaidia mipango ya Wikimedia na vipau mble vyake. WMF asili juu ya athari maombi yanayozidi uasili wa maombi, hujaribu kuondoa mising mpya, na inataka kuongeza kiwango cha watu wa kupewa ruzuku ili kuendeleza na kuweka mipango mipya pamoja na ushirikiano.



Mifano ya ujumbe-wa uwasilishaji wa kuweka miradi ikiwemo: michango ya ushindanishaji makala,ufikishaji wa malengo na kuingiza wachangiaji wapya ikiwa ni poamoja na mafunzo,kufanya shughuli za ushirikiano na GLAMS au taasisi zinginezo, ama juhudi za kuongeza maudhui kwenye miradi. kwenye orodha ya miradi iliyowasilishwa awali, embu angalia Ruzuku:PEG/Maombi



Kamati ya Ushauri wa Ruzuku na watendaji wa WMF watafanya tathimini kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:

Pmoja na Ujumbe na Mikakati yenye Vipau mbele vya Wikimedia.

Uwezo wa ujumbe katika miradi ya Wikimedia ambayo lengo lake ni kusaidia kwenye miradi, (kwa mfano Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Commons).

Uwepo wa utayari wa kujitolea pamoja na masuala mengine yasiyohitaji fedha katika utumiaji wa ruzuku.

Ufuatiliaji wa taarifa za matumizi ya ruzuku (pale inapohitajika).

Shahada katika kila ruzuku iliyotolewa na kuongeza maeneo mapya ya weledi ili kuchochea uvumbuzi mambo mbalimbali katika vuguvugu la Wikimedia.

Ufanisi wa namna ya utumiaji ruzuku.

  1. The quality of the proposed measures of success. Are they actually measurable?

Uendelevu athari zaidi katika kipindi chote cha ruzuku.