Jump to content

Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili/Mwaliko wa Kidirisha cha Maswali na Majibu 2023

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Conversations/Panel Q&A 2023 Invitation and the translation is 100% complete.

Timu ya Sera ya Uaminifu na Usalama ya Wikimedia Foundation inatoa mwaliko maalumu kwa Jamii ya [] kuhudhuria mjadala wa jopo na wanajamii kuhusu Miongozo ya Utekelezaji wa UCoC na Upigaji kura ya Uidhinishaji ujayo tarehe 15 Januari 2023 katika UTC.

Tukio hili linalenga jamii ndogo/za wastani kama yako ambazo uwakilishi wao katika upigaji kura ujao ni muhimu sana ili kupata maoni na mapendeleo yako katika kura. Tukio hili litakupa taarifa muhimu unayohitaji ili kukuwezesha na kuwa tayari kupiga kura, kwa hivyo tafadhali hudhuria na ueneze Habari.

Unaweza kujiandikisha kwenye Meta au wasiliana kwa barua pepe ucocproject@wikimedia.org ikiwa ungependa kuhudhuria

Inaanza baada ya lisaa.