Chaguzi za Shirika la Wikimedia/2022/Tangazo/Kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022 kipindi cha Kura za Jumuiya

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Kutangaza matokeo ya awali ya kipindi cha uchaguzi cha Bodi ya Wadhamini cha 2022 cha Kura za Jumuiya

Unaweza kupata ujumbe huu ukitafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki.

Habarini nyote,

Asante kwa kila mtu aliyeshiriki katika mchakato wa 2022 Bodi ya Wadhamini. Kushiriki kwako husaidia kuwaweka wadhamini ambao jumuiya inatafuta kwenye Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia.

Haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022:

Unaweza kuona maelezo zaidi kuhusu Matokeo na Takwimu ya uchaguzi huu wa Bodi.

Hatua zinazofuata ni pamoja na Kamati ya Uchaguzi kuchunguza matokeo ya uchaguzi na wadhamini waliochaguliwa kukamilisha ukaguzi wa kina. Bodi inapanga kuteua wadhamini wapya katika mkutano wao wa Desemba.

Wenu,

Mkakati wa Harakati na Utawala

Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya Uchaguzi