Jump to content

Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Charter/Voting/Translations/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Charter/Voting/Translations and the translation is 100% complete.
Universal Code of Conduct

This page coordinates translation of the Universal Code of Conduct Coordinating Committee charter poll question.

Piga kura

Ndiyo

Hapana

Swali

Je, unaunga mkono uidhinishaji wa mkataba wa Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili?

Kura hii ni sehemu ya mchakato wa uidhinishaji wa mkataba wa Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Piga kura yako hapa chini. Kwa maelezo zaidi, tembelea ukurasa wa msaada kwa mpiga kura kwenye Meta-Wiki.

Tafadhali chagua "hapana" au "ndiyo". Kura zisizo na machaguo ya "hapana" au "ndiyo" hazitajumuishwa katika hesabu ya mwisho.

Iwapo una mashaka kuhusu mkataba, tafadhali onyesha kijisehemu au sehemu ambazo zina mashaka na ni mashaka gani uliyonayo. Maoni yatakuwa hadharani. Tafadhali usitoe taarifa za kibinafsi katika maoni yako. Asante.

Other material

  • title: Uidhinishaji wa Mkataba wa Kamati Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
  • jumptext: Kura itapigwa kwenye tovuti kuu ya wiki. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kupelekwa huko. Tafadhali kumbuka kuwa unapopiga kura baadhi ya taarifa fulani ikiwemo anwani yako ya IP na taarifa za wakala wa mtumiaji zitakusanywa ili kuruhusu wachunguzi kuhakikisha kwamba kura hiyo ni ya uadilifu. Taarifa hizo zitafutwa siku 90 baada ya uchaguzi kukamilika na zitaonekana tu kwa wakaguzi na washauri wa uchaguzi wa wafanyakazi.
  • returntext: Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
  • unqualifiederror: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa msaada kwa mpigakura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unakidhi vigezo.