Jump to content

Universal Code of Conduct/Coordinating Committee/Election/2024/Translations - SecurePoll/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

The following messages are to be used in the SecurePoll interface so that voters can vote in their own language as much as possible. Generic messages are already translated in the extension and so are not included here.

Intro for both elections

Kura chaguo-msingi kwa wagombea wote ni "kutoegemea upande wowote". Tafadhali onesha hapa chini ni wagombea gani unaowaunga mkono au kuwapinga. Huhitaji kuwapigia kura wagombea wote. Wapiga kura wote wanaweza kuwapigia kura wagombea wa Kikanda. Kwa maelezo zaidi kuhusu wagombea, tembelea ukurasa wa wagombea kwenye Meta.

Unaweza kurudi ili kubadilisha kura zako wakati wowote upigaji kura ungali bado wazi. Kura zako zote zitarudishwa katika hali msingi ya "kutopendelea upande wowote" na utalazimika kuingiza tena kura za kuunga mkono au kupinga.

Voting options

 • -1: Pinga
 • 0: Kutoegamia upande wowote
 • +1: Unga mkono

Title and candidates

 • title: Kamati ya Kuratibu Uchaguzi 2024 wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
 • community: Viti vya jumla vya jumuiya
 • regional: Viti vya kikanda
 • mena: Mashariki ya Kati & Afrika Kaskazini
 • ssa: Nchi za Afrika za Kusini mwa Jangwa la Sahara
 • sa: Asia Kusini
 • eseap: Mashariki, Kusini-mashariki mwa Asia, na Pasifiki
 • lac: Amerika ya Kusini na Karibiani
 • na: Amerika ya Kaskazini (Marekani na Kanada)
 • nwe: Ulaya ya Kaskazini & Magharibi
 • cee: Ulaya ya Kati na Mashariki

Extra pieces

 • jumptext: Upigaji kura utafanyikia kwenye wiki kuu. Tafadhali bofya kitufe kilicho hapa chini ili kupelekwa huko.
 • returntext: Kamati ya Uratibu Uchaguzi 2024 wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
 • unqualifiederror: Tunaomba radhi, lakini hauonekani kuwa kwenye orodha ya wapigakura wanaostahiki. Tafadhali tembelea ukurasa wa usaidizi wa mpiga kura kwa maelezo zaidi kuhusu ustahiki wa mpigakura na maelezo kuhusu jinsi ya kuongezwa kwenye orodha ya wapigakura ikiwa unastahiki.
 • elections title: Kamati ya Uratibu Uchaguzi 2024 wa Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili
 • candidates: Wagombea
 • metauserpage: Ukurasa wa mtumiaji wa Meta-Wiki
 • questions: Maswali