Jump to content

Chaguzi za Shirika la Wikimedia/2022/Matokeo

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2022/Results and the translation is 57% complete.
Outdated translations are marked like this.

Bodi ya Wadhamini ya 2022 Matokeo ya Upigaji Kura wa Jumuiya

Wagombea wawili wafuatao walichaguliwa kuhudumu katika Bodi ya Wadhamini. Haya ni matokeo ya awali yanayosubiri kuhakikiwa na Kamati ya Uchaguzi.

You may also view the full results, including the outcome of each round of Single-Transferrable Vote.

Bodi ya Wadhamini ya 2022 Matokeo ya Upigaji Kura wa Shirika la Ushirika

Wagombea sita wafuatao walichaguliwa kuendelea hadi katika hatua ya upigaji kura ya jumuiya ya uchaguzi:

You may also view the full results of this stage, including the outcome of each round of Single-Transferrable Vote.

Bodi ya Wadhamini ya 2022 Takwimu za Uchaguzi

Haya hapa ni maelezo ya uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini. Unaweza kuona maelezo zaidi kwenye ukurasa wa Takwimu.

Kuelewa Matokeo ya STV

SecurePoll sasa inatumia mbinu ya Single Transferable Vote. Kura Moja Inayoweza Kuhamishwa au STV ni njia iliyoorodheshwa ya upigaji kura inayowaruhusu wapiga kura kubainisha wagombeaji wanaotaka kuona wakichaguliwa kwa kufuata matakwa yao. Kwa SecurePoll, tulichagua utekelezaji wa Meek kwa Kupunguza Kiwango (Droop Quota).

Utekelezaji wa Meek ndio maarufu zaidi kwa chaguzi za STV na hutumiwa na mashirika na serikali kadhaa kwa ajili ya chaguzi zao. Mfano ulio hapa chini unatumia utekelezaji wa STV uliorahisishwa zaidi (STV ya Uskoti) ili kueleza dhana ya jumla. Maelezo sahihi zaidi ya mbinu kamili inayofuatwa katika utekelezaji yanaweza kuwa kupatikana hapa.