Movement Charter/Drafting Committee/Elections/Results/Announcement/sw
Appearance
Kutana na Wanachama wapya wa Kamati ya Kuandaa Hati ya Vuguvugu
Uchaguzi na mchakato wa uteuzi wa Kamati ya Kuandika Hati ya Movement umekamilika.
- Matokeo ya uchaguzi yamechapishwa. Washiriki 1018 walipiga kura kuwachagua wajumbe saba wa kamati: Richard Knipel (Pharos), Anne Clin (Risker), Alice Wiegand (Lyzzy), Michał Buczyński (Aegis Maelstrom), Richard (Nosebagbear), Ravan J Al-Taie (Ravan), Ciell (Ciell).
- Mchakato wa ushirika umechagua wanachama sita: Anass Sedrati (Anass Sedrati), Érica Azzellini (EricaAzzellini), Jamie Li-Yun Lin (Li-Yun Lin), Georges Fodouop (Geugeor), Manavpreet Kaur (Manavpreet Kaur), Pepe Flores (Padaguan).
- Wakfu wa Wikimedia umeteua wanachama wawili: Runa Bhattacharjee (Runab WMF), Jorge Vargas (JVargas (WMF)).
Kamati hiyo itakutana hivi karibuni kuanza kazi yake. Kamati inaweza kuteua hadi wajumbe watatu zaidi ili kuziba tofauti na mapungufu ya kitaalamu.
Ikiwa ungependa kujihusisha na mchakato wa kuandaa Mkataba wa Movement, fuata masasisho kwenye Meta na ujiunge na [cha Telegram].
Kwa shukrani kutoka kwa timu ya Mkakati wa Harakati na Utawala