Jump to content

Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia/Uchaguzi wa FDC/2013/Maswali

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/FDC elections/2013/Questions and the translation is 100% complete.
Info The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted.

The results were announced on 24 June 2013.

Help translate the election.

Maelekezo

Tunawaomba wapiga kura kuacha maswali yasiyozidi manne, maswali mafupi na yayoeleweka. Maswali yoyote ambayo hayana uhusiano na wagombea wa FDC yataondolewa. kwa mamlaka ya kamati ya uchaguzi. tafadhali zingatia muda ili wagombea wapate muda wa kujibu mwaswali, na ili pia wasomaji nao wapate muda wa kutosha kusoma.

Tafadhali usitumie maswali uliyo yauliza katika kurasa zingine (kwa kuuliza zaidi ama maswali mengineyo, usiyatumie katika kurasa za mazungumzo ya wagombea au kwa njia ya barua pepe). Unaweza kuuliza swali lako katika lugha yoyote; na ikionekana umuhimu,kamati ya uchaguzi itatafuta watu wa kutafakari. [Bofya hapa] ili kuuliza maswli.

Inasisitizwa kwamba swali lisizidi maneno 1600 kwa kila swali(nafasi za uchapaji hazihesabiki). Tafadhali usielekeze swali lako katika maeneo zaida ya ulilokusudia, hata hivyo matumizi ya linki kwa lengo la kuonesha kumbukumbu za swali lako hizo zinaruhusiwa. kulingana na namba za wapiga kura na wagombea, ni muhimu kuziweka kurasa hizi kwa kusomeka vyema, zenye kuelezeka na baadaye ili zitumike kwa wapiga kura.

Uelekezi

Kwa kusomeka kirahisi, kurasa za maswali zikatwa katika mafungu mafupimafupi, na kila fungu likiwa na mwaswali 10 na majibu ya wagombea.