Uchaguzi wa Shirika la Wikimedia 2013/Matokeo
The election ended 22 June 2013. No more votes will be accepted. The results were announced on 24 June 2013. |
Kamati ya Uchaguzi 2013 Imetangaza matokeo ya Chaguzi wa Baraza la Wadhamini 2013. Matokeo haya yamethibitishwa na Baraza la Wadhamini. Wagombea walioshinda ni hawa:
- Kwa Baraza la Wadhamini:
- Samuel Klein (Sj)
- Phoebe Ayers (phoebe)
- María Sefidari (Raystorm)
- Kamati ya usimamiaji wa Ruzuku
- notafish (Delphine Ménard)
- CristianCantoro (Cristian Consonni)
- Afisa wa kamati ya Ruzuku
- Lusitana (Susana Morais)
Matokeo ya wagombea wote
Wagombea | Kuungwa mkono | Sio fungamana | Pingamizi | Uwiano wa Kuungwa mkono (S/(S+O)) |
---|---|---|---|---|
Lusitana (Susana Morais) | 75 | 870 | 164 | 82.53 |
MBisanz (Matthew Bisanz) | 40 | 907 | 262 | 70.95 |
Wagombea | Kuungwa mkono | Sio fungamana | Pingamizi | Uwiano wa Kuungwa mkono (S/(S+O)) |
---|---|---|---|---|
notafish (Delphine Ménard) | 27 | 791 | 191 | 81.24 |
CristianCantoro (Cristian Consonni) | 79 | 1,033 | 197 | 74.61 |
Aegis Maelstrom (Michał Buczyński) | 15 | 1,100 | 194 | 72.64 |
Abbasjnr (Abbas Mahmood) | 29 | 1,064 | 316 | 57.58 |
MikyM (Mile Kiš) | 35 | 1,218 | 256 | 56.68 |
Smallbones | 00 | 1,068 | 341 | 53.98 |
ImperfectlyInformed (Ben) | 09 | 1,149 | 451 | 31.67 |
Wagombea | Kuungwa mkono | Sio fungamana | Pingamizi | Uwiano wa Kuungwa mkono (S/(S+O)) |
---|---|---|---|---|
Samuel Klein (Sj) | 87 | 817 | 205 | 79.33 |
Phoebe Ayers (phoebe) | 93 | 871 | 245 | 73.88 |
María Sefidari (Raystorm) | 44 | 935 | 230 | 73.68 |
Liam Wyatt (Wittylama) | 73 | 1,004 | 232 | 71.18 |
Michel Aaij (Drmies) | 33 | 967 | 309 | 63.30 |
Kat Walsh (Mindspillage) | 61 | 891 | 357 | 61.11 |
Jeromy-Yu Chan (Yuyu) | 88 | 1,004 | 317 | 60.62 |
John Vandenberg (John Vandenberg) |
99 | 970 | 340 | 59.48 |
Leigh Ann Thelmadatter (Thelmadatter) |
82 | 1,074 | 353 | 51.97 |
Tom Morton (ErrantX) | 02 | 1,101 | 406 | 42.66 |
Francis Kaswahili Kaguna[1] (Francis Kaswahili) |
02 | 978 | 529 | 36.34 |
- ↑ Mgombea amepoteza sifa kwa kufungiwa katkati ya kipindi cha Uchaguzi.
Maelezo ya Kamati ya uchaguzi
Kamati ya Uchaguzi imethibitisha kwamba Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki hivyo hakuna haja ya kutia mashaka. Kulikuwa na jumula ya wapiga kura 1927 katika jedwari la kura. kati ya hizi, kulikuwa na kura 13 (kura hizi zote zilipigwa kwa majaribio); 105 ama zilighailishwa katika chombo cha kura, na 1809 kura halali. Nyongeza,maelezo zaidi ya kitakwimu na uchambuzi yatapatikana katika siku za usoni au majuma machache yajayo.
Viwango vyote vya kijumuiya, Ukijumuisha na baraza, wagombea,wapiga kura, Watumishi wa WMF na Kamati ya Uchaguzi, wanahamasishwa kushiriki katika chombo cha majadiliano ya mwenendo mzima wa Uchaguzi.
Kwa mara ya kwanza, Uchaguzi pamoja na viti vya Kamati ya usimamiaji wa ruzuku na ile ya afisa wa ruzuku. Kitendo hiki kimeongeza chachu katika mchakato wa uchaguzi, wagombea, wapiga kura, timu ya wataalamu na Kamati ya Uchaguzi. masuala kadha wa kadha kuhusiana na watumiaji wa jedwari la kura kama ilivyotambulishwa, vilevile kuhusi ana na masuala ya kiusalama wa kura au utoaji wa matokeo. Mwanzo wa upigaji kura kadogo kulikuwa na kaucheleweshaji kwa muda wa wiki moja kama vile ambavyo kamati pia haikusema kuhusiana na orodha ya wapiga kura na utayari wa mtandao ulikuwa tayari na kwa kuonesha tarehe ya kuanza kwake.
Kamati ya Uchaguzi inatoa shukrani kwa Sam Reed, Philippe Beaudette, na James Alexander kwa uthamini na msaada wao.
Kwa Kamati ya Uchaguzi