Fundraising 2011/Core messages/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Translation instructions
  • For pages marked "Missing" or "In progress", click the page title and start translating. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • For pages marked "Needs updating", compare the page to the source page and update the translation accordingly. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • It is important to have someone else proofread the translated page! If you have proofread a page and it is ready for publication, click "edit status" and change that page's status to ready.
  • If you are changing something that has already been published, change its status back to ready for it to be published again.

If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ

Landing Pages
  1. Ukitaka taarifa zaidi au ukitaka kuchangia kwa kupitia njia nyingine bonyeza hapa.
  2. Hatuhifadhi taarifa za kadi ya mkopo wako. Taarifa juu yako mwenyewe iko chini ya sera ya faragha yetu ya wachangiaji.
  3. Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
  4. Chagua kiasi unachotaka kuchangia:
  5. Changia sasa
  6. Nakubali nipokee habari za Wikimedia Foundation mara nyingine.
  7. Nyingine:
  8. Inabidi uchangie $1 au zaidi
  9. Changia kila mwezi
  10. Tunajitahidi kupata njia rahisi ya kuchangia kwa ajili ya watu toka kila sehemu ya dunia. Tafadhali utujulishe njia gani ndiyo rahisi kuchangia mahali ulipo. Tuma mawazo yako kwa:
  11. Majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara yanapatikana kwa kubonyeza hapa.
  12. Una maswali au maoni? Andika kwa: donate@wikimedia.org
Banners / LP
  1. Tafadhali soma barua ya maombi ya Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia.
  2. Soma sasa
  3. Utusaidie kufika kikomo chetu: $ milioni 24
Buttons
  1. Changia kwa kupitia kadi ya mkopo
  2. Changia kwa kupitia PayPal
  3. Changia kwa Uhawilisho wa Benki
Where your donation goes
  1. Mambo yanayogharimiwa na mchango wako
  2. Teknolojia: Seva, upana-bendi, matengenezo, maendeleo. Wikipedia ni tovuti ya 5 katika matumizi ya tovuti zote za dunia, na gharama ya kuiendesha ni ndogo sana kwa kulinganisha na gharama za kuendesha tovuti zingine kubwa
  3. Watu: Tovuti zingine kati ya 10 kubwa zina maelfu ya wafanyakazi. Sisi hatuna hata 100, kwa hiyo mchango wako unafanyiwa kazi sana katika shirika fanisi lisiloendeshwa ili kuchuma faida.
Thank You / Stories
  1. Soma sababu za wachangiaji wengine za kuchangia katika Wikipedia na miradi mingine ya Wikimedia. Au soma orodha ya kampuni zinazotoa ruzuku katika miradi inayosaidiwa na wafanyakazi wao (corporate matching gift program (USA)).
    Waambie wengine kwamba unachangia katika Wikimedia: andika tweet na hashtag #keepitfree!
  2. Ukiweka alama katika kisanduku hiki, unawaruhusu akina Wikimedia Foundation wawasiliane nawe kuhusu sababu zako za kuchangia ulivyoeleza, na kuitumia habari zako kueneza jina la Wikimedia Foundation na miradi yake.
  3. Sio lazima
  4. Umri