Stewards/Elections 2016/Introduction/sw
Appearance
Outdated translations are marked like this.
- Wasimamizi wapya hupigiwa kura karibu mara moja kila mwaka. Wasimamizi hufanya kazi ya kiufundi katika "wiki" zote za Wikimedia kulingana na makubaliano ya kijamii na Sera ya Wasimamizi* kubadilisha fursa ya mtumiaji, kuangalia habari za mtumiaji katika suala la unyanyasaji na vinginevyo (angalia maelezo).
- Kuhusu maelezo zaidi kuhusu kupiga kura, kutafsiri, au kuwa mgombea, soma miongozo. Unaweza kutazama ustahili wako wa kupiga kura.
- Mawasilisho ya wagombea yako wazi kuanzia 15 Januari 2016, 00:00 (UTC) hadi 28 Januari 2016, 23:59 (UTC). Maswali kwa wagombea yanaweza kuwasilishwa hadi (election ends)
- Upigaji wa kura utaanza katika 08 Februari 2016, 14:00 (UTC) na utamalizika katika 28 Februari 2016, 13:59 (UTC). Wagombea wanapaswa kusoma miongozo na kupigiwa angalau kura 30 pamoja na uwiano wa usaidizi wa 80%. Unaweza kufuatilia matokeo na takwimu zilizokusanywa.
- Mchakato wa uthibitisho wa mawakili wa sasa unaendelezwa pamoja na upigaji wa kura.