Jump to content

Chaguzi za Shirika la Wikimedia/2022/Tangazo/Barua pepe ya pili kwa mpiga kura

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2022/Announcement/Second Board voter email and the translation is 100% complete.

Kumbuka kupiga kura katika chaguzi za Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia 2022

Mpendwa $USERNAME,

Unapokea barua pepe hii kwa sababu umetimiza masharti ya kupiga kura katika uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia 2022. Uchaguzi huo ulifunguliwa Agosti 23, 2022 na utafungwa Septemba 6, 2022.

Shirika la Wikimedia huendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na inaongozwa na Bodi ya Wadhamini. Bodi ni chombo cha kufanya maamuzi cha Shirika la Wikimedia. Pata maelezo zaidi kuhusu Bodi ya Wadhamini.

Mwaka huu viti viwili vitachaguliwa kwa kura ya jumuiya. Wagombea sita wanawania viti hivi. Pata maelezo zaidi kuhusu Wagombea wa Bodi ya Wadhamini ya 2022.

Takribani wanajamii 67,000 wanaombwa kupiga kura. Hiyo inajumuisha wewe! Upigaji kura utadumu pekee saa 23:59 UTC Septemba 6. Pigia kura kwenye [$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2022 SecurePoll kwenye $ACTIVEPROJECT].

Ikiwa tayari umepiga kura, asante kwa kupiga kura na tafadhali puuza barua pepe hii. Watu wanaweza kupiga kura mara moja pekee bila kujali wana akaunti ngapi.

Soma maelezo zaidi kuhusu uchaguzi huu.

Imesainiwa,

Mkakati wa Harakati na Utawala Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya chaguzi

Plain text version


Mpendwa $USERNAME,

Unapokea barua pepe hii kwa sababu umetimiza masharti ya kupiga kura katika uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Wikimedia ya 2022. Uchaguzi huo ulifunguliwa Agosti 23, 2022 na utafungwa Septemba 6, 2022.

Shirika la Wikimedia huendesha miradi kama vile $ACTIVEPROJECT na inaongozwa na Bodi ya Wadhamini. Bodi ni chombo cha kufanya maamuzi cha Shirika la Wikimedia. Pata maelezo zaidi kuhusu Baraza la Wadhamini: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_Board_of_Trustees/Overview>

Mwaka huu viti viwili vitachaguliwa kwa kura ya jumuiya. Wagombea sita wanawania viti hivi. Pata maelezo zaidi kuhusu wagombea wa Bodi ya Wadhamini: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022/Candidates>

Takribani wanajamii 67,000 wanaombwa kupiga kura. Hiyo inajumuisha wewe! Upigaji kura utadumu tu saa 23:59 UTC tarehe Septemba 6. Pigia kura kwenye SecurePoll kwenye $ACTIVEPROJECT: <$SERVER/wiki/Special:SecurePoll/vote/Wikimedia_Foundation_Board_Elections_2022>

Ikiwa tayari umepiga kura, asante kwa kupiga kura na tafadhali puuza barua pepe hii. Watu wanaweza kupiga kura mara moja pekee bila kujali wana akaunti ngapi.

Soma habari zaidi kuhusu uchaguzi huu: <https://meta.wikimedia.org/wiki/Special:MyLanguage/Wikimedia_Foundation_elections/2022>

Imesainiwa,

Mkakati wa Harakati na Utawala
''Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya Chaguzi''

Barua hii imetumwa kwako kwa vile umesajili barua pepe yako na Shirika la Wikimedia. Ili kujiondoa kwenye arifa ya uchaguzi ujao, tafadhali ongeza jina lako la mtumiaji kwenye No Mail List ya Wikimedia
<https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_nomail_list>.