Jump to content

Fundraising 2012/Translation/Impact Of Wikipedia Video (subtitles)/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Fundraising 2012/Translation/Impact Of Wikipedia Video (subtitles) and the translation is 42% complete.

00:00:00.000,00:00:05.000 Wikipedia ni shirika linalojiendesha bila kujipatia faida, lakini ni wavuti ya 5 kwa kutembelewa sana duniani. Makala zote za katika Wikipedia zimeandikwa na watu wa kujitolea.

00:00:06.000,00:00:11.500 Tungependa tukutambulishe watu wachache miongoni mwao...

00:00:12.000,00:00:13.000 Mimi ninatoka Nepal

00:00:13.100,00:00:14.000 Mimi ninatoka Iraq

00:00:14.100,00:00:16.000 Mimi ninatokea India

00:00:16.001,00:00:17.000 Mimi ninatoka Byram, New Jersey

00:00:17.100,00:00:18.000 Ninaishi mjini Birmingham, Uingereza

00:00:18.100,00:00:22.050 Chicago, Illinois -- La Paz, Bolivia -- Nairobi, Kenya

00:00:22.051,00:00:24.000 Kuala Lumpur, Malaysia -- Milan nchini Italia -- Afrika Kusini

00:00:24.100,00:00:26.100 Poland -- Japan -- Armenia

00:00:26.200,00:00:28.000 Brazil -- Russia -- Botswana

00:00:28.001,00:00:30.500 Israel -- Uzbekistan -- Hong Kong

00:00:30.501,00:00:31.000 Istanbul -- Mexico

00:00:31.001,00:00:32.000 Chattanooga, Tennessee

00:00:33.000,00:00:38.000 Mwanzoni kabisa wakati najiunga na Wikipedia mnamo 2008, nilianzisha makala chungumzima.

00:00:38.100,00:00:44.000 Miongoni mwao, nadhani ilikuwa inahusu mwanamke mmoja aliyeitwa Mariam Nour.

00:00:44.100,00:00:48.000 Hatujakuwa na makala kuhusu yeye, kwa hivyo -- na hiyo ikawa ndiyo makala yangu ya kwanza.

00:00:48.100,00:00:52.500 Hivyo nikasahau kuhusu hiyo makala! Labda baada ya miaka miwili au mitatu baadaye,

00:00:52.600,00:00:57.000 Nikaipitia tena makala ile. Nilishtushwa.

00:00:57.100,00:01:02.000 Zaidi ya watu 100,000 wanaisoma ile makala.

00:01:02.100,00:01:08.000 Wameitumia, na kwa maana hiyo wamepata taarifa walizokuwa wanazitaka kutoka katika ile makala. Wakaipitisha makala ile,

00:01:08.100,00:01:15.000 kwa hiyo unajiona kama vile umeathiriwa na kuvutiwa na watu zaidi ya 100,000.

00:01:15.500,00:01:19.000 Nilishangazwa kidogo pale nilipobonyeza kitufe cha "hariri" kwa mara ya kwanza.

00:01:19.100,00:01:24.000 Nilidhani, “Eh Mungu wangu, nina haribu kila kitu! Hii haiwezekani! Siwezi kabisa kufanya hii kitu!”

00:01:24.100,00:01:29.000 Wikipedia ni 'chanzo huria' -- ambapo kila mmoja anaweza kutupia wazo lake

00:01:29.100,00:01:34.000 halafu mtu mwingine anakuja na kung'alisha wazo lile na kulifanya kuwa bab-kubwa.

00:01:34.100,00:01:40.500 Kuna maelfu ya watu hufanya kazi hiyo kila siku, kila saa, kila dakika kwenye ilimradi waiboreshe

00:01:40.501,00:01:44.000 Sana-sana hufanywa na watu wa kujitolea. Hii ni njia pekee ya kujitolea.

00:01:44.100,00:01:49.000 Inawaleta pamoja watalaamu na watu wa ridhaa kwa pamoja na mapenzi yote kwa ajili ya mada fulani.

00:01:49.100,00:01:54.000 Watu wenye michango ya mawazo tofauti mwanzoni kabisa wanaanza kushirikiana.

00:01:54.001,00:01:58.500 A lot of what you would assume a large Internet corporation would handle

00:01:58.501,00:02:01.000 is handled by volunteers like me.

00:02:01.100,00:02:05.000 You just can’t say, “Okay, I’m right, you’re wrong, this is my version of the article!”

00:02:05.100,00:02:07.000 If there’s an issue of bias,

00:02:07.100,00:02:11.000 then somebody has probably flagged it and if not, now I can flag it too.

00:02:11.000,00:02:13.000 You’ve got hundreds and thousands of people seeing that

00:02:13.001,00:02:15.000 and correcting it.

00:02:15.001,00:02:16.400 And then I push the button and

00:02:16.401,00:02:19.600 Boom - The journey started and it was great.

00:02:19.601,00:02:21.000 First I started with 'Probability'.

00:02:21.001,00:02:24.000 The first article I started is 'Probability'.

00:02:24.001,00:02:26.000 One of my main articles I wrote on Wikipedia was

00:02:26.001,00:02:27.400 the article on stab wounds.

00:02:27.401,00:02:29.000 I write about fly fishing,

00:02:29.001,00:02:32.000 Montana history, National Park history, Yellowstone.

00:02:32.001,00:02:36.100 Underutilized crops. Chess players. Biodiversity.

00:02:36.101,00:02:39.100 Military history topics. Armenian history. Roman history.

00:02:39.101,00:02:42.100 Judges. Communication. Biographies. Football.

00:02:42.101,00:02:45.901 Ireland. Pennsylvania. Mostly photography.

00:02:45.901,00:02:47.600 Pink Floyd. Baking, because I love to bake.

00:02:47.601,00:02:50.200 Nuclear weapons and radioactivity,

00:02:50.201,00:02:52.000 and whitewater kayaking.

00:02:52,201,00:02:56.000 There’s all this information that’s out there that’s kind of scattered

00:02:56.001,00:02:59.000 and we’re putting it together in one place.

00:02:59.100,00:03:03.000 We are offering free knowledge for everyone,

00:03:03.101,00:03:07.000 in their own language so they can use it.

00:03:07.501,00:03:11.000 Everyone is benefited by this whether they are rich or poor.

00:03:11.001,00:03:16.000 For-profit companies have different motivations and different requirements.

00:03:16.500,00:03:22.000 From the Wikimedia Foundation, I don’t take a salary and I also don’t even take expenses.

00:03:22.001,00:03:25.500 I think it’s very important that I’m able to say quite clearly,

00:03:25.501,00:03:30.500 Look, when I’m asking you for money, I’m not asking you for money for myself --

00:03:30.501,00:03:36.000 I’m asking you for money for the Foundation which is the team who supports this amazing community that I’m a part of.

00:03:36.501,00:03:41.400 I think Wikipedia gave me this chance to really make a huge difference in the world.

00:03:41.401,00:03:48.000 It’s like an investment for your future, for your children’s future.

00:03:53.401,00:03:57.000 Thank You

00:04:00.000,00:04:03.000 The content contained in this video is available under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License v3.0 (http://creativecommons.org/licenses/by-sa/3.0) unless otherwise stated. This work is attributable to: Victor Grigas, Wikimedia Foundation. The views and opinions expressed in this video are solely those of the individuals appearing in the video and do not necessarily reflect the policies or positions of any company, organization, or institution the individual may be a member of. The trademarks and logos of the Wikimedia Foundation and any other organization are not included under the terms of this Creative Commons license. Wikimedia trademarks and logos, including "Wikipedia" and the puzzle globe logo, are registered trademarks of the Wikimedia Foundation. For more information, please see our Trademark Policy page, http://www.wikimediafoundation.org/wiki/Trademark_Policy or contact trademarks@wikimedia.org.

00:04:03.000,00:04:05.000 This video is published under a Creative Commons license.

00:04:05.001,00:04:09.000 Like Wikipedia, it is free to copy, remix & share.