Wikimedia 2030

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Movement Strategy/About and the translation is 62% complete.
Outdated translations are marked like this.
NJIA YA KUELEKEA KWENYE MALENGO YETU YA BAADAE
Mkakati wa Wikimedia 2030

Mkakati wa wikimedia 2030 ninini?

Takribani Miongo miwili sasa, Wanawikimedia wamefanya kwapamoja kuhakikisha wanajenga na kutengeneza rasilimali maarifa kubwa katika historia ya mwanadam. Ndani ya kipindi hiki, tumekuwa kutoka kikundi kidogo cha wahariri nakufikia kundi kubwa kutoka sehemu na jamii mbalimbali la wahariri, watengenezaji, washirika, wasomaji, mawakili, wafadhili, na marafiki.

Kwasasa, sisi nizaidi ya kundi la tovuti na miradi. Tumekua wanaharakati tulio jikita katika maadili na maono yenye tija. Sisi kwapamoja sasa tumepata fursa ya kujadili wapi tunaelekea kuanzia hapa. Tunaweza kujadili namna gani tunaweza kubali [maono] yetu kwenda kwenye uharisia. Tutakua tumefanikiwa nini kwa miaka kumi 10 kutoka sasa?

Tuko wapi kwa sasa?

Bofya kati ya mshale moja wapo kujua zaidi hatua za mchakato wa mpango!
Special:MyLanguage/Strategy/Wikimedia movement/2017Special:MyLanguage/Strategy/Wikimedia movement/2018-20Special:MyLanguage/Strategy/Wikimedia movement/2018-20/TransitionSpecial:MyLanguage/Wikimedia 2030/Implementation
Kufuatia ushauriano wa kina uliofanyika mnamo mwaka 2017,awamu ya kwanza ya harakati za mkakati mchakato ulizarisha mwelekeo wa kimkakati kutoa mwongozo wa harakati kwa siku za baadae. mapendekezo yaliainishwa katika awamu ya pili ili kusaidia kutupatia mwongozo wa mwelekeo mkakati ili kufikia uwasa wa kimaalifa na maarifa kama huduma. takribani wanawikimedia 100 waliungana na kutengeneza makundi tisa 9 wakafanya kazi na kuandaa mapendekezo hayo. Baada ya majadiliano na mashauriano ya kina na jamii kufanyika, mapendekezo kumi (10) ya mwisho na sheria yalitolewa mnamo mwezi mei 2020, na ndipo ikawa mwisho wa awamu ya pili.

Niwakati sasa wa kutengeneza mpango wa kuhakikisha mapendekezo ya harakatik mkakati yanaletwa kwenye uharisia, kwakupitia mtirirko wa matukio mpito. wanawikipedia wote wanakaribishwa katika matukio mubashara kuchukua nafasi ya kujadili pamoja mpango wa kuwezesha mapendekezo hayo yaweze kufanyiwa kazi.

Ninani anaeshughurikia Mkakati?

Harakati mkakati ya wikimedia 2030 umekua mchakato shirikishi na wa wazi.ikiwa umesimamiwa na wafanyakazi wa mradi wa wikimedia, mkakati umekua ukihusisha mfururizo wa ushauri wa kina kutoka kwa washiriki wa kujitolea. katika awamu yake ya kwanza, zaidi ya taarifa au kauli 1,800 kutoka jumuia au jamii miamoja zilijumuishwa kutengeneza mwelekeomkakati. Katika kipindi cha awamu ya pili, zaidi ya watu miamoja walijitolea kutoka katika jumuia na washiriki mbalimbali kutengeneza mapendekezo na kanuni, wakiwa wamearifiwa na maoni ya kina ya harakati.

Mwishoni mwa mwaka 2020, vikundi mbalimbali vya wanawikimedia kutoka katika jamii mbalimbali, kwakufuata mwongozo wa wiki-engagement and guidance, waliandaa mhtasari wa matukio mubashara ya mpito. Mchakato ulilenga zaidi juu ya uwazi na uhudhuriaji wa harakati ya kuijenga kesho yetu,zaidi kutoka katika miradi jamii na makundi mengine yaliyo kosa uwakirishi. Unakaribishwa kuungana kushiriki nasi katika matukio haya mubashara.