Mkakati/Harakati ya wikimedia/2015-20/Mpito/Orodha ya Mipango

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Movement Strategy/Initiatives and the translation is 80% complete.
Outdated translations are marked like this.
Uwasilishaji wa Mipango

Hii ni toleo rahisi la "orodha ya mipango" (i.e matokeo muhimu, mabadiriko au hatua) iliyo ambatanishwa kwenye mapendekezo ya harakati ya wikimedia 2030.

Orodha

Huu ni muhtasari wa mipango, ambao ni rahisi kusoma na kutafsiri. Unaweza kurejea kwenye orodha asili/ya mwanzo kwa taarifa zaidi Jedwari zima

Mapendekezo Mipango
1. Kuongeza uimara wa harakati yetu.
1 Njia ya kimfumo ya kiboresha uzarishaji na utimirifu
2 Ufadhiri kwa jamii ambazo hazija wakirishwa
3 Kukuza na kuongeza uelewa kuhusu harakati ya Wikimedia
4 Sera ya uzalishaji wa mapato kimataifa + mkakati wa kukusanya fedha
5 Kuendeleza kiwango cha biashara katika viwango API
6 Kujihusisha na ikolojia ya upande mwingine
7 Kukuza mapato za Harakati
8 Kuhakikisha mipango na mienendo yetu inasaidia mazingira endelevo (mazingira imara)
2. Kuboresha uzoefu wa mtumiaji
9 Mbinu ya kuboresha jukwaa wa utafiti wa watumiaji, ubunifu, majaribio na ushirikishwaji wa jamii.
10 Kuhusisha jamii kwenye ubunifu wa bidhaa na matumizi
11 Kuwapa uzoefu wa vifaa mbalimbali watumiaji
12 Utangamano na Mwongozo wa Ufikivu.
13 Rasilimali kwa wanachama wapya
14 Nafasi za rika kwa rika
15 Viwango vya jukwaa la utendaji na nyaraka
16 Uendelezwaji wa zana za miradi inayo endana na kuzitumia tena
17 Ushirikiano wa kukuza Wikimedia API
3. Kutoa usalama na ujumuishaji
18 Kanuni za maadili
19 Utoaji taarifa kwa matukio binafsi
20 Msingi wa majukumu ya jamii
21 Kukuza tathmini ya usalama na mpango wa utekelezaji-kiufundi,kibinadam na michakato inayo kubarika kisheria.
22 Utetezi-ukuzwaji wa uwezo wa ndani.
23 Namna ya kujenga majukwaa ya ndani ya kiusalama
4. Kuhakikisha usawa katika kufanya maamuzi
24 Mkataba wa Harakati
25 Baraza la kimataifa
26 Vituo vya mada vya mikoa
27 Mfumo rahisi wa ugawaji rasilimali
28 Miongozo ya kazi za bodi na utawala
5. Uratibu kwa wadau wote
29 Nyaraka mwendelezo zinazo fafanua majukumu kwa maeneo muhimu ya kazi
30 Kuinua/kukuza mawasiliano na uwezo wa kushirikiana na washirika
31 Baraza la tekinolojia (kuchochea mawasiliano, usimamizi na msaada)
6. Kuwekeza katikamaendeleo ya ujuzi na uongozi
32 Mbinu ya kimataifa ya kukuza ustadi wa ndani-kukusanya dutu, kuringanisha rika,kushauri,utambuzi
33 Mpango wa maendeleo ya uongozi
34 Miundombinu ya maendeleo ya ujuzo
7. Kusimamia/kukuza maarifa ya ndani
35 Kuwezesha utamaduni wa uwekaji/uhifadhi taarifa
36 Kuanzisha maarifa msingi na mapana juu ya harakati
8. Kutambua mada zenye tija
37 Kutambua athari chanya za miradi ya Wikimedia na maudhui yake
38 Upotoshwaji wa taarifa
39 Kuunganisha mpasuko(utofauti) wa maudhui
40 Mipango ya maudhui kwenye jamii ambazo hazijawakirishwa
9. Ufumbuzi katika maarifa bure
41 Kutambua sera zinazozuia usawa wa maarifa
42 Sera za majaribio na miradi ya usawa wa maarifa
43 Mwendelezo wa majaribio,tekinolojia,na ushirikiano wa maudhui,fomati,na vifaa.
10. Tathimini, Thibitisha na zoea
44 Kufuatilia, kutathimini na kujifunza katika nyanza zote kwakutoa mdaada na uwajibikaji wa pande zote
45 Kuunda mfumo kamili wa tathmini kwa shughuli za harakati na miundo-ikijumuisha tekinolojia,usimamizi, uwezo, sera na uongozi
46 Mabadiriko ya michakato mwingiliano (pande zote)
47 Kuiga sera (sera rafiki,miundo,bajeti na kupanga kuiga mabadiliko ya Kimataifa)

Change log