Wikimedia Foundation elections/2022/Candidates/Abdermane Abakar Brahim

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2022/Candidates/Abdermane Abakar Brahim and the translation is 100% complete.

Abderamane Abakar Brahim (Abakar B)

Abakar B (talk meta edits global user summary CA  AE)

Candidate details
  • Personal:
    • Jina: Abderamane Abakar Brahim
    • Location: Chad
    • Lugha: French and English, little Arabic.
  • Editorial:
    • Wikimedian since: 2018
    • Active wikis: Wikipedia, commons, lingua libre, Wiktionary.
Taarifa ya utangulizi / muhtasari wa maombi.
Sehemu hii itatafsiriwa. (Upeo wa maneno 150)
Nilifungua akaunti yangu mwaka wa 2018 kama mjitoleaji kwenye Wikipedia na kuanzia hapo na kuendelea nachukua majukumu yangu kwa kufanya kazi kwenye miradi kama vile Wikipedia, Commons, wiki loves Africa, wiki Kouman na mingineyo. Lengo langu kuu siku zote limekuwa kutumikia jamii ili ziwe na manufaa kwa maarifa kwa sababu kuna mtu anayehitaji. Ninajifunza kushiriki na jumuiya na kwa kuwatia moyo wengine wawe wajitoleaji. Kwa kujua tatizo la jamii zenye uwakilishi mdogo na ushiriki wao katika miradi mbalimbali, mkakati wa harakati uliopo, ningependa jumuiya nyingi zaidi kuzingatia mapendekezo ili kutimiza malengo yao katika utofauti.
Michango kwa miradi ya Wikimedia, uanachama katika mashirika au washirika wa Wikimedia, shughuli kama mratibu wa harakati za Wikimedia, au ushiriki na shirika mshirika la Wikimedia.
(Upeo wa maneno 100)
As Wikipedia is a project that allows us to contribute and improve our local content in 2018, I participated as a voluntary contributor and the creation of the Chad user group in 2019 by working as a project wiki love africa, wikpedia , commons, wiktionary.
Utaalamu katika maeneo ya ujuzi yaliyotambuliwa kama mahitaji ya Bodi.
  • Mkakati wa shirika na usimamizi
  • Teknolojia ya jukwaa la kiwango cha biashara na/au ukuzaji wa bidhaa
  • Sera ya umma na sheria
  • Sayansi ya data ya kijamii, uchanganuzi mkubwa wa data, na kujifunza kwa mashine

(Upeo wa maneno 150)

I am training in oracle database and I have participated in several citizen activities in my community as an awareness and advocacy campaign I know how to use google drive, slack, zoom... communication, Plaidoyer , Edith-on, local language
Uzoefu wa kuishi ulimwenguni. Tunavutiwa sana kusoma kuhusu matukio ya maisha katika maeneo ya Afrika, Asia ya Kusini, Mashariki na Kusini Mashariki mwa Asia na Pasifiki, na Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibi. Tunaamini kuwa uzoefu katika maeneo haya unaweza kusaidia kupanua uwezo wa bodi wa kutimiza lengo la mkakati wa harakati la ushiriki wa usawa zaidi, ingawa tunatambua kuwa uzoefu mwingine unaweza pia kutoa michango muhimu.
(Upeo wa maneno 250)
In 2011 I was as a visitor to Benin more precisely in Cotonou I am a student passing through but when I arrived in Ghana I was registered at ELA (Excellence Language Accademic) in Accra where I participated in several activities as an office observation from Chadian student in Accra, schools Accredited or not in Ghana, player of the Chadian team for French-speaking games, in 2019 I was also at wikiindaba in Nigeria and in 2021 I was in Dubai for the Arab leader conference. ...
Ufasaha wa kitamaduni na lugha pamoja na maeneo na lugha za ziada kwa eneo lako la asili na lugha. Uelewa wa kitamaduni husaidia kujenga madaraja katika jumuiya yetu ya tamaduni nyingi.
(Upeo wa maneno 250)
in 2021 we collaborated with the Ivorian community on the Kouman wiki project which allowed us to contribute on the two local languages Chadian Arabic and Ngambaye, I speak French and English
Uzoefu kama mtetezi wa kuunda nafasi salama na shirikishi kwa wote na/au uzoefu katika hali au miktadha ya udhibiti, ukandamizaji au mashambulizi mengine dhidi ya haki za binadamu.
(Upeo wa maneno 250)
my local milk is a campaign in which I participated as a volunteer which promotes local milk, Weeks of my world of entrepreneurship as an organizational member to allow young people to undertake and Digital November is a month dedicated to digital tools (discover digital tools for young people) and AfricActiviste it is thanks to Oxfam that you received this training to do our advocacy.
Uzoefu kuhusiana na (au kama mwanachama wa, kwa kiwango unachochagua kushiriki) kikundi ambacho kimekabiliwa na ubaguzi wa kihistoria na uwakilishi mdogo katika miundo ya mamlaka (pamoja na lakini sio tu kwa tabaka, jamii, kabila, rangi, asili ya kitaifa, utaifa, utambulisho wa kijinsia, kujieleza jinsia, mwelekeo wa kijinsia, umri, dini, lugha, utamaduni, elimu, uwezo, mapato na mazingira).
(Upeo wa maneno 250)
As a member of my community I am flexible I have not had any problems I render service as I also ask for it I have the chance to also collaborate with other members from other countries such as Botswana, Nigeria and the coast of ivory and waiting with sudan.
Verification Identity verification performed by Wikimedia Foundation staff and eligibility verification performed by the Elections Committee
Eligibility: Verified
Verified by: Matanya (talk) 08:59, 17 May 2022 (UTC)[reply]
Identification: