Shirikia la wikimedia

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation and the translation is 47% complete.
Outdated translations are marked like this.

Kuhusu Shirika

Shirika (WMF) ni Shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa nchini Marekani; (USA) ambalo lina Tovuti yake inayojulikana kama miradi ya Wikimedia, pamoja na Wikipedia na wikinews, pamoja na tovuti hii,Meta Wiki. shirika la wikimedia linalosimamiwa na Baraza la Wadhamini. tangu mwezi Januari 2008, Ofisi za Shirika la wikimedia zipo katika jiji la San Francisco, USA. Makao makuu yake ya zamani yalikuwa katika jiji la St. Petersburg, Florida ambayo ilifungwa rasmi tarehe 31 Januari 2008. Habari kamili kuhusiana na Shirika la Wikimedia zinapatikana katika tovuti ya Shirika: wikimediafoundation.org.

Baraza la Wadhamini

The Wikimedia Foundation Board of Trustees manages the foundation and supervises the disposition and solicitation of donations. The Board is the ultimate corporate authority for the Wikimedia Foundation, Inc. (article IV, sec. 1 of the Wikimedia Foundation bylaws). The current membership list and contact information can be found at Wikimedia Foundation Board of Trustees.

Angalia pia historia ya Baraza la Wadhamini na chati inaelezea juu ya muda wa viti vya Bodi.

Mwongozo wa Baraza la wikimedia ambao unaonyesha kazi za Baraza na majukumu yake. shirika linaendesha orodha ya mikutano iliyopita na ijayo (hadidu rejea), na maadhimio yake.

Shirika

Njia za majadiliano

Shirika la wikimedia linasimamia njia ya matumizi ya:

  • Meta-Wiki kwa ajili ya majadiliano na maunganisho ya masuala yote kwa umma. miradi hii ya Wiki ni kamilifu na inaweza kuhaririwa na mtu yeyote pia ipo katika lugha nyingi.
  • wikimediafoundation.org ni tovuti rasmi ya Shirika.Mradi huu wa Wiki hakika ni wa umma, lakini uhariri wake hufanywa na wanachama wa jumuiya walioaminiwa. Tuna jaribu kuhariri katika lugha nyingi zaidi.Mrejesho kuhusu tovuti hii unaweza kutolewa hapa kuhusiana na Meta-Wiki kwenye ukurasa wa Foundation wiki feedback.
  • wikimedia-l ni ya umma orodha ya barua pepe kwa jamii kwa ajili ya kujadili mada kuhusiana na Shirika na miradi yake.
  • internal-l ni orodha ya mashirika yasiyo ya umma ya usambazaji na upatikanaji vikwazo kwa wakurugenzi na maafisa.
  • private-l ni njia nyingine binafsi ya barua pepe ambayo ilikuwa pia ikitumika kujadili masuala ya kiufundi ndani ya Shirika.
  • OTRS ni mfumo wa tiketi wa Shirika la Wikimedia ambao hutumiwa na wafanyakazi na wanaojitolea kusimamia barua pepe kutoka kwa umma.

Channels for support

The Wikimedia Foundation manages the following channels for support:

  • Trust and Safety Meta page provides an introduction into Trust & Safety work, as well as information about programs, policies, and resources.
  • General Trust & Safety inquiries: ca(_AT_)wikimedia.org
  • Threats of imminent physical harm (also supporting human rights crisis response): emergency(_AT_)wikimedia.org
  • Assessment of child protection concerns: legal-reports(_AT_)wikimedia.org
  • Disinformation support inbox for partnering functionaries and local admin teams: drt(_AT_)wikimedia.org
  • Human Rights team Meta page provides an introduction into Human Rights work, as well as information about programs, policies, and resources.
  • General Human Rights inquiries: talktohumanrights(_AT_)wikimedia.org

ni kwa namna gani tunatumia fedha

angalia Taarifa ya mwaka, taarifa ya kila mwezi na Taarifa ya fedha.

Fedha zinatoka wapi

Shirika la Wikimedia linaendeshwa na kusimamiwa kwa kutumia fedha zilizochangishwa na fedha na michango mingine. Kwa habari zaidi, tafadhali tazama ukurasa wa michango.

Wikimedia affiliates

In acknowledgement of the diversity of groups contributing to our movement, the Board of Trustees approves recognition of the following models of affiliation with the Wikimedia movement. Affiliates may change from one affiliation status to another, and should prioritize cooperation with one another without hierarchy. If you wish to start an affiliate or are looking for more information about affiliation, you may want to contact the Affiliations Committee.

Movement partners

Movement partners are like-minded organizations that actively support the Wikimedia movement’s work. They are listed publicly and granted limited use of the marks for publicity indicating their support of and collaboration with Wikimedia. Movement partners are not yet being recognized by Wikimedia. More information on future recognition may be obtained from the Affiliations Committee.

National or sub-national chapters

National or sub-national chapters are incorporated independent non-profits representing the Wikimedia movement and supporting movement work globally, focused within a geography. Chapters or national/sub-national organizations use a name clearly linking them to Wikimedia and are granted use of Wikimedia trademarks for their work, publicity, and fundraising.

Thematic organizations

Thematic organizations are incorporated independent non-profits representing the Wikimedia movement and supporting work focused on a specific theme, topic, subject or issue within or across countries and regions. Thematic or focused organizations use a name clearly linking them to Wikimedia and are granted use of Wikimedia trademarks for their work, publicity and fundraising.

User groups

User groups are open membership groups with an established contact person and history of projects, designed to be easy to form. User groups may or may not choose to incorporate and are granted limited use of the Wikimedia marks for publicity related to events and projects.

uratibu wa Wikimedia na Miradi

Uratibu wa miradi

Wikimedia Meta-Wiki (Wiki hii) ni Tovuti kuhusiana na uratibu na Miradi ya Wikimedia Foundation.

Miradi mikuu ya Wikimedia

Historia ya baadhi ya miradi

Historia

Awali historia ya Wikipedia ilikuwa na sifa ya machafuko kiasi kutokana na ugeni. Utawala wa Wikipedia ulifanyika kwa ufanisi, na Jimmy Wales (Jimbo) peke yake, kwa msaada wa Orodha washiriki usambazaji.

Mamlaka mpana wa miradi ya kupanua walichokifikiria, kuongozwa na pendekezo katika wikien-l ujumbe wa Sheldon Rampton:

Nadhani tunapaswa kwenda mbali zaidi ya lengo kwa lengo la mwisho la kujenga"Wikimedia."Hii ni pamoja na vyombo vya habari "m". Ingekuwa kutumia sheria Mtind-Wiki kuruhusu ushiriki wa umma katika uumbaji na uhariri wa kila aina ya ensaiklopidia vyombo vya habari na vitabu vingine rejea, habari za sasa, vitabu, uongo, muziki, video, nk Kama sasa vyombo vya habari audiovisuella, ingekuwa kutofautishwa "njia" na "Mipango", kila mmoja na mikutano ya binafsi uteuzi. Tofauti na vyombo vya habari leo, hata hivyo, umma pia kushiriki kikamilifu katika uumbaji wa programu yake mwenyewe, badala ya kuangalia utulivu.

Jina la "Wikimedia.org" lilinunuliwa na mavili kusubili kuwa chini ya umiliki wa mashirika yasiyo fanya faida ya Wikipedia na wikimedia.

Mnamo mwezi Juni 20, 2003, Jimmy Wales - ambaye alikuwa akiendesha Wikipedia chini ya kampuni yake ya Bomis-[// lists.wikimedia.org/pipermail/wikipedia-l/2003-June/010743.html alitangaza] kuundwa "Shirika la Wikimedia, ambalo lililengwa kuendeshwa kama chombo mlezi, shirika lisilo jiendesha kwa faida Wikipedia, Wiktionary, Wikiquote, Wikibooks, na miradi mingineyo ya wiki iliyo chini ya leseni ya bure ambayo iliwekwa kwenye "familia Wikimedia" Tazama pia makala ya Wikipedia ya Kiingereza Wikipedia: en:Wikimedia Foundation..

The first Board of Trustees composed of Jimmy Wales (Chair), Michael Davis and Tim Shell. In June 2004, the next Board of Trustees was composed of 5 people, Jimmy Wales (Chair), Florence Devouard (Vice Chair), Michael Davis (Treasurer), Tim Shell and Angela Beesley. In 2006, Tim and Angela left the Board, whilst Erik Möller, Jan-Bart de Vreede, Kat Walsh and Oscar van Dillen joined it. In October, Florence Devouard became the Chair of the Board, in replacement of Jimmy Wales, who maintained the role as Chairman Emeritus.[1] The first employees joined the organization in 2005, Danny Wool and Brion Vibber. In 2008, the Board was restructured amongst conflicts with the community, and Jimmy Wales was granted the Founder's seat additionally to the Chairman Emeritus.

Shirika lilichukua mwelekeo mpya katika majira ya joto ya 2007, wakati Sue Gardner aliajiriwa kama mtendeji wa muda(ED). Kwa wakati huu, lina wafanyakazi wapatao 10, wengi wao wakiwa katika ofisi ya Florida na wengine wako Uingereza, Ujerumani na Uholanzi. kamati nyingi ziliundwa mwezi januari 2006 kwa wakati huo hakuwa hai.

In 2007, the Foundation decided to move away from its Florida office. San Francisco was chosen as the destination (Boston was its main competitor).[2] The former headquarters in Florida were closed on January 31, 2008.

The Foundation's San Francisco headquarters were originally at 39 Stillman Street. In 2009, it moved less than a kilometer to 149 New Montgomery Street, and in 2017 to its current location at One Montgomery Tower.

The Board was substantially restructured in April 2008. For more information, see:

Viungo vingine

References