Jump to content

Chaguzi za Wikimedia Foundation/2021

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation elections/2021 and the translation is 30% complete.
Outdated translations are marked like this.

The election ended 31 Agosti 2021. No more votes will be accepted.
The results were announced on 7 Septemba 2021. Please consider submitting any feedback regarding the 2021 election on the elections' post analysis page.

2021 Board Elections
Main Page
Candidates
Voting information
Single Transferable Vote
Results
Discussions
FAQ
Questions
Organization
Translation
Documentation
This box: view · talk · edit

The 2021 Board of Trustees election has been rescheduled to 18 – 31 August 2021 due to technical issues with SecurePoll. Read more.

Chaguzi za bodi ya wadhamini wa Wikimedia Foundation kwa mwaka 2021 zinategemewa kufanyika kuanzia 4 August 2021 mpaka 17 August 2021.Wanachama wa jumuiya za Wikimedia wanayo nafasi ya kuchagua wagombea wanne watakao tumikia kipindi cha miaka miatu.Tangazo la wito kwa wagombea limepangwa kufunguliwa mnamo 9 June 2021.Lakini tarehe hizo si rasmi, zinaweza kubadilika.

Candidate Table

Please click on a candidate's name to learn more.

Voting

Voting was from 18 August 2021 to 31 August 2021. Voting information and instructions are on the Voting information page.

Note: If your vote is rejected, don't try logging in on votewiki. Instead, if the system rejects a valid vote, you should just restart the voting process. Since the voting form will be blank again, it is a good idea to write down your choices in a separate document or take a screenshot before submitting the form.

Learn more about the Board of Trustees in this short video:

Muda

 • 2021-04-15 Maafikiano ya bodi kuhusu uchaguzi ujao
 • 2021-04-29 Wito kwa wajitoleaji wasaidizi wa uchaguzi
 • 2021-06-09 hadi 2021-06-29 Wito kwa Wagombea
 • 2021-06-30 hadi 2021-07-02 Tangazo la wagombea waliopitishwa
 • 2021-07-07 hadi 2021-08-03 Kampeni za Wagombea
 • 2021-08-04 Upigaji kura unafunguliwa
 • 2021-08-17 Upigaji kura unafungwa
 • 2021-08-18 - 2021-08-24 Kuhesabu kura na michakato yake
 • 2021-08-25 Tangazo la Matokeo ya Uchaguzi
 • 2021 Septemba-Bodi inawachagua wagombea waliopita
Board of Trustees election timeline

The Board election facilitators created a graphic of the timeline. This can be used to share information about the election. The graphic is available in more languages.

Campaign Activities

This is a list of campaign activities planned during the campaign period. Further activities are in the making, the list will be updated continuously. Community members are welcome to add additional activities to the list below. If you add activities, please link to the page where community members can find more information.

Kuwafikia wengine

Watu waliojitokeza kupiga kura kwa chaguzi zilizopita ilikuwa ni 10% ya watu wote Wanawikimedia duniani.Hali ya uchaguzi ilikuwa nzuri kwa jumuiya zilizokuwa na msaidizi wa kujitolea kuhusu mambo ya uchaguzi.Jumuiya hizo zilipata hadi 20% ya wapiga kura.

Wasaidizi wa Uchaguzi wa kujitolea

Unataka kusaidia kuongeza idadi ya wapiga kura katika jumuiya yako? Huhitaji kuwa na uzoefu katika chaguzi.Wasaidizi wa uchaguzi wa kujitolea wanaweza kusaidia kukkuza uelewa kuhusu uchaguzi huu wa bodi ya wadhamini katika jumuiya zao. Wajitoleaji kutoka miradi yote ya Wiki wanakaribishwaǃ Lengo ni kuwa na angalau kuwa na angalau mtu mmoja wa kusaidia kuhusu mambo haya ya uchaguzi kwa miradi ya Wiki katika orodha ya Wiki 30 zilizo na vigezo kupiga kura. Saidia kutengeneza bodi ya wadhamini yenye watu wa aina tofauti tofauti kwa kuifanya jumuiya yako ishiriki Chaguzi hizi.

Mazungumzo

Kuna mazungumzo mengi yanaendelea duniani kuhusu uchaguzi huu wa bodi ya Wadhamini. Karibu ushiriki mazungumzo hayaǃ

Mazungumzo katika Telegram kuhusu Uchaguzi wa Bodi
Timu inayoratibu uchaguzi huu itatangaza na kutoa taarifa zaidi hapa.
Wasaidizi wa uchaguzi kutoka Asia Kusini
Ongeza Kiungo hapa ili watu wengine waweze kujiunga na mazungumzo

Timu

Kamati ya Uchaguzi
AbhiSuryawanshi
Carlojoseph14
HakanIST
KTC
Mardetanha
Masssly
Matanya
Ruslik0
Timu wezeshaji
Quim Gil- Mratibu
Xeno: English communities and Meta-Wiki
Jackie Koerner- Mwezeshaji katika Lugha ya Kiingereza na katika mradi wa Meta-Wiki
Civvi: Italian communities
Oscar Costero- Mwezeshaji wa eneo la Latin America
Mahuton Possoupe- Mwezeshaji kwa lugha ya Kifaransa
Zita Zage- Mwezeshaji wa ukanda wa Kusini mwa jangwa la Sahara.
Denis Barthel- Mwezeshaji kwa Lugha ya Kijerumani na jumuiya za Kaskazini na Mashariki mwa Ulaya
Ravan Al-Taie- Mwezeshaji wa ukanda wa Mashariki ya Kati na ukanda wa Afrika ya Kaskazini.
Krishna C. Velaga- Mwezeshaji wa ukanda wa Asia ya Kusini
Mohammed Bachounda- Mwezeshaji na msaidizi wa Lugha ya Kifaransa na eneo la MENA
Mehman Ibragimov- Mwezeshaji wa Ulaya ya Kati na Ulaya ya Mashariki
Sam Oyeyele: Yoruban communities and West Africa region
Vanj Padilla- Mwezeshaji wa Mashariki,Kusini-Mashariki mwa Asia, na eneo la Pacific
Youngjin Ko: Korean communities and East Asia region
Ramzy Muliawan: Indonesian communities and Southeast Asia and the Pacific region

Msingi

Uchaguzi wa Bodi ya wadhamini ulitakiwa kufanyika mwaka 2020 ili kupata viti vitatu kutoka jumuiya za Wikimedia. Mnamo Aprili 2020, Bodi ilitangaza kuwa mchakato wa upigaji kura ulikuwa umesogezwa mbele. Bodi ya wadhamini ilitangaza mnamo Aprili 2021 mpango wa uchaguzi wa bodi kwa mwaka 2021.Bodi inanuia kuongeza uwakilishi wa watu wa aina tofauti tofauti katika chaguzi hizi za bodi ya Wadhamini.

Bodi imekua na kuwa viti 16 ili kukabiliana na maongezeko ya kazi na maeneo ya kiujuzi yanayohitajika kuendesha Shirika la Wikimedia Foundation.Msingi wa ukuaji huu ni kutokana na mapendekezo ya mtizamo wa kiuongozi kutoka nje.

 • Viti vipya vi 3 vilivyochaguliwa na washirika na jumuiya za Wikimedia
 • Viti vipya vi 3 vya bodi

Nafasi za viti vinne zitawekwa katika Uchaguzi wa 2021, viti vitatu vinahitaji kufanyiwa upyaisho na kiti cha nne kinategemewa kuwa ni kile kitakachotokana na mchakato wa kuongeza idadi ya wajumbe wa bodi. Viti vipya vingine viwili vitakavyo pitishwa na wanajumiya vitachaguliwa mwakani 2022, pamoja na viti vingine viwili vya washiriki vitakavyobakishwa (jumla itakua viti vinne).