From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
A
Kiingereza
|
Utafsiri
|
abuse filter
|
kichujio cha matumizi mabaya
|
accountability
|
Uwajibikaji
|
admin
|
mkabidhi
|
administrator
|
msimamizi
|
administrators
|
Wasimamizi
|
administrators on meta
|
Wasimamizi kwenye meta
|
adminship
|
utawala
|
advanced rights
|
haki za hali ya juu
|
advisor
|
mshauri
|
Advisory Board
|
Bodi ya Ushauri
|
AffCom
|
Affcom
|
affiliate
|
mshirika
|
affiliates
|
washirika
|
Affiliations Committee
|
Kamati ya Ushirikiano
|
Africa
|
Afrika
|
arbitration committee
|
kamati ya usuluhishi
|
appeal
|
rufaa/ kata rufaa
|
Assistant election official
|
Msaidizi Afisa Uchaguzi
|
autoconfirmed users
|
watumiaji waliothibitishwa automatiki
|
autopatrolled users
|
watumiaji wanaofanya doria automatiki
|
B
Kiingereza
|
Utafsiri
|
backlog
|
mlundikano
|
best practices
|
mazoea bora
|
board
|
bodi
|
board election
|
uchaguzi wa bodi
|
board elections
|
chaguzi za bodi
|
Board Governance Committee
|
Kamati ya Utawala ya Bodi
|
board handbook
|
kitabu / kijatabu cha bodi
|
Board of Trustees
|
Bodi ya Wadhamini
|
BoT
|
BoT
|
bot
|
bot
|
bylaws
|
sheria ndogo
|
C
Kiingereza
|
Utafsiri
|
Call for feedback
|
ombi la maoni
|
candidate
|
mgombea
|
candidates
|
wagombea
|
category
|
jamii
|
CEE
|
CEE
|
Central and Eastern Europe
|
Ulaya ya Kati na Mashariki
|
Central and Eastern Europe (CEE) and Central Asia
|
Ulaya ya Kati na Mashariki (CEE) na Asia ya Kati
|
CentralNotice
|
CentralNotice / TaarifaKuu / NotisiKuu
|
chair
|
kiti
|
Chairman Emeritus
|
Mwenyekiti Mstaafu
|
challenge
|
changamoto
|
change
|
badili / badiliko
|
changes
|
mabadiliko
|
chapter
|
tawi / sura
|
chapters
|
matawi
|
chapters agreement
|
makubaliano ya matawi
|
Chapters committee
|
kamati ya matawi
|
chapters handbook
|
kitabu / kijitabu cha matawi
|
Chapters meeting
|
mkutano wa matawi
|
Charter
|
Hati / Mkataba
|
Charter content
|
maudhui ya hati / maudhui ya mkataba
|
Charter drafting
|
uandishi wa Hati
|
CheckUser
|
CheckUser / AngaliaMtumiaji
|
CheckUser policy
|
sera ya CheckUser / sera ya AngaliaMtumiaji
|
Chief Operational officer
|
Afisa Mkuu wa Operesheni
|
Chief Technical Officer
|
Afisa Mkuu wa Ufundi
|
ComCom
|
ComCom
|
commission
|
tume
|
committee
|
kamati
|
Commons
|
Commons
|
Communications committee
|
Kamati ya mawasiliano
|
communities
|
jumuiya / jamii
|
communities and organizations
|
jamii na mashirika
|
community
|
jumuiya / jamii
|
Community Affairs Committee
|
Kamati ya Masuala ya Jamii
|
Community Development
|
Maendeleo ya jamii
|
Community Development team
|
timu ya Maendeleo ya jamii
|
community meeting
|
mkutano wa jumuiya / mkutano wa jamii
|
Community Resilience and Sustainability (CR&S)
|
Ustahimilivu na Uendelevu wa Jamii (CR&S)
|
conflict of interest
|
mgongano wa maslahi
|
consensus
|
makubaliano
|
consultation
|
mashauriano
|
consultation with
|
mashauriano na
|
consultation with communities
|
mashauriano na jumuiya
|
consultations
|
mashauriano
|
content
|
maudhui
|
contractor
|
mkandarasi
|
contributor(s)
|
mchangiaji/ wachangiaji
|
conversation
|
mazungumzo
|
conversations
|
mazungumzo
|
coordinating
|
kuratibu
|
coordination
|
uratibu
|
Council
|
Baraza
|
D
Kiingereza
|
Utafsiri
|
desktop
|
kompyuta dawati
|
development
|
maendeleo
|
development of
|
maendeleo ya
|
Diff blog
|
blogu ya Diff
|
Direction
|
mwelekeo
|
disambiguation
|
kutokuwa na maana
|
discussion
|
majadiliano
|
discussion page
|
ukurasa wa majadiliano
|
Discussion Tools
|
Zana za majadiliano
|
discussions
|
majadiliano
|
diverse
|
anuwai
|
diversity
|
tofauti, anuwai
|
draft
|
rasimu
|
drafting
|
kuandaa rasimu
|
Drafting committee
|
Kamati ya kuandaa rasimu
|
drafts
|
rasimu
|
E
Kiingereza
|
Utafsiri
|
East, Southeast Asia, and Pacific
|
Mashariki, Asia ya Kusini-mashariki, na Pasifiki
|
edit conflict
|
hariri migogoro
|
edit summary
|
hariri muhtasari
|
edit war
|
hariri vita
|
Edit-a-thon
|
Edit-a-thon
|
Editathon
|
Editathon
|
editing
|
kuhariri
|
editor
|
mhariri
|
editors
|
wahariri
|
election
|
uchaguzi
|
Election compass
|
dira ya uchaguzi
|
Election officers
|
Maafisa Uchaguzi
|
election volunteer
|
Wafanyakazi wa kujitolea wa uchaguzi
|
elections
|
chaguzi
|
Elections Committee
|
Kamati ya Chaguzi
|
Embassies
|
balozi
|
Embassy
|
balozi
|
emerging communities
|
jamii zinazoibuka
|
emerging community
|
jamii inayoibuka
|
employee
|
mfanyakazi
|
employees
|
wafanyakazi
|
enforcement
|
utekelezaji
|
Enforcement Guideline
|
Mwongozo wa Utekelezaji
|
Enforcement Guidelines
|
Miongozo ya Utekelezaji
|
ESEAP
|
ESEAP
|
Europe
|
Ulaya
|
evaluation
|
Tathmini
|
event
|
Tukio
|
events
|
Matukio
|
Events committee
|
Kamati ya matukio
|
Executive Director
|
Mkurugenzi Mtendaji
|
extension
|
upanuzi / uenezi
|
external links
|
viungo vya nje
|
F, G
Kiingereza
|
Utafsiri
|
FDC
|
FDC
|
feature
|
sifa (computer context)
|
financial committee
|
kamati ya fedha
|
financial reports
|
ripoti ya fedha
|
Foundation
|
Shirika
|
Foundation-l
|
Shirika-l
|
free knowledge
|
maarifa ya bure
|
fund
|
mfuko
|
Fundraising committee
|
kamati ya harambee
|
funds
|
fedha
|
Funds Dissemination Committee
|
Kamati ya Usambazaji wa Fedha
|
General Counsel
|
Mshauri mkuu
|
Gerrit
|
Gerrit
|
GFDL
|
GFDL
|
GLAM
|
GLAM
|
GLAMs
|
GLAMs
|
GLAMwiki conferences
|
mikutano ya GLAMwiki
|
global conversation
|
mazungumzo ya kimataifa
|
global conversations
|
mazungumzo ya kimataifa
|
Global council
|
Baraza la kimataifa
|
global permissions
|
ruhusa/ hati za kimataifa
|
global policies
|
sera za kimataifa
|
global policy
|
sera ya kimataifa
|
Global Sysop
|
msimamizi wa kimataifa / msimamizi wa ulimwengu
|
Global Sysops
|
wasimamizi wa kimataifa / msimamizi wa ulimwengu
|
governance
|
utawala
|
Governance review
|
Tathmini ya utawala
|
grant
|
ruzuku
|
Grant Advisory Committee (GAC)
|
Kamati ya Ushauri ya Ruzuku (GAC)
|
grantee
|
mfadhiliwa
|
grants
|
ruzuku
|
guideline
|
mwongozo
|
H, I , K
Kiingereza
|
Utafsiri
|
hackathon
|
hackaton
|
healthy community
|
jamii yenye afya
|
helpdesk
|
dawati la msaada
|
home wiki
|
wiki ya nyumbani
|
hub
|
hebu / kitovu / kituo
|
hubs
|
hebu
|
implement
|
kutekeleza / tekeleza
|
implementation
|
utekelezaji
|
inclusive
|
Pamoja na
|
initiative (Movement Strategy Initiative)
|
initiative
|
insurance committee
|
kamati ya bima
|
interface
|
Kikusa
|
interface administrator
|
msimamizi wa kikusa
|
interfaces
|
Vikusa
|
Interim Global Council
|
Baraza la Kimataifa la Mpito
|
interwiki
|
interwiki
|
IRC
|
IRC
|
knowledge
|
maarifa
|
L
Kiingereza
|
Utafsiri
|
LangCom
|
LangCom
|
Language Committee
|
Kamati ya Lugha
|
LATAM
|
LATAM
|
Latin America
|
Amerika ya Kilatini
|
Latin America (LATAM) and The Caribbean
|
Amerika ya Kilatini (LATAM) na Visiwa vya Karibi
|
leader
|
kiongozi
|
leadership
|
uongozi
|
Leadership development
|
maendeleo ya uongozi
|
Leadership development working group
|
Kikundi kazi cha maendeleo ya uongozi
|
legal
|
kisheria
|
legal officer
|
afisa wa sheria
|
libraries
|
maktaba
|
library
|
maktaba
|
list of chapters
|
orodha ya matawi
|
list of projects
|
orodha ya miradi
|
lists of projects
|
orodha za miradi
|
logo
|
nembo
|
logos
|
nembo
|
M, N
Kiingereza
|
Utafsiri
|
mailing list
|
orodha ya barua
|
mailing lists
|
orodha ya barua
|
main page
|
ukurasa mkuu
|
mainspace
|
nafasikuu
|
maintaining
|
kudumisha
|
matching fund
|
mfuko unaolinga
|
MediaWiki
|
MediaWiki
|
MENA
|
MENA
|
Meta policies
|
sera za Meta
|
Middle East and Africa
|
Mashariki ya Kati na Afrika
|
mission statement
|
maelezo ya dhamira
|
movement
|
harakati
|
Movement Charter
|
Hati ya Harakati
|
Movement Strategy
|
Mkakati wa Harakati
|
movement-wide
|
harakati kwa upana
|
multilingual project
|
mradi wa lugha nyingi
|
multilingual projects
|
miradi ya lugha nyingi
|
namespace
|
nafasi ya jina
|
namespaces
|
nafasi ya majina
|
need for leadership
|
haja ya uongozi
|
needs
|
mahitaji
|
Neutral point of view (NPOV)
|
Mtazamo wa kutoegemea upande wowote (NPOV)
|
newcomer
|
mgeni
|
newcomers
|
wageni
|
O, P
Kiingereza
|
Utafsiri
|
office action
|
hatua ya ofisi / hatua ya kiofisi
|
office actions
|
hatua za ofisi / hatua za kiofisi
|
officers
|
maafisa
|
office hour(s)
|
officers hour(s)
|
online platform
|
jukwaa la mtandaoni
|
online tool
|
zana ya mtandaoni
|
organization
|
shirika
|
organizations
|
mashitika
|
outreach
|
kuwafikia / ufikiaji
|
oversight
|
oversight
|
page
|
page
|
paid editing
|
uhariri wa kulipwa
|
participant
|
mshiriki
|
participants
|
washiriki
|
permissions
|
vibali
|
platform
|
jukwaa
|
platforms
|
majukwaa
|
point of view (pov)
|
mtazamo (pov)
|
policies
|
sera
|
policy
|
sera
|
presentation
|
wasilisho
|
presentations
|
mawasilisho
|
priorities
|
vipaumbele
|
prioritized
|
iliyopewa kipaumbele
|
priority
|
kipaumbele
|
priority initiative
|
mpango wa kipaumbele
|
priority initiatives
|
mipango ya kipaumbele
|
privilege
|
privilege
|
process
|
mchakato
|
processes
|
michakato
|
project
|
mradi
|
projects
|
miradi
|
proposal
|
pendekezo
|
proposals
|
mapendekezo
|
R
Kiingereza
|
Utafsiri
|
random page
|
ukurasa wa nasibu
|
ratification
|
uthibitisho
|
ratification process
|
mchakato wa uthibitisho
|
recent changes
|
wajibu
|
recommendation
|
rudi nyuma
|
recommendations
|
mapato
|
red link
|
mapato
|
redirect
|
meza pande zote
|
Regional hub
|
SAARC
|
Regional hubs
|
sandbox / sanduku la mchanga
|
rename
|
wigo
|
request
|
uteuzi, uchaguzi
|
request for permissions
|
mtumiaji mmoja kuingia
|
requests
|
maombi
|
requests for permissions
|
requests for permissions
|
requests for username changes
|
requests for username changes
|
research
|
utafiti
|
research phase
|
awamu ya uchaguzi
|
research report
|
ripoti ya utafiti
|
research result
|
matokeo ya utafiti
|
resource
|
rasilimali
|
resources
|
rasilimali
|
responsibilities
|
majukumu
|
responsibility
|
wajibu
|
retreat
|
retreat
|
revenue
|
revenue
|
revenues
|
revenues
|
right
|
right
|
Roundtable
|
Roundtable
|
S
Kiingereza
|
Utafsiri
|
SAARC
|
SAARC
|
sandbox
|
sandbox
|
scope
|
scope
|
section
|
section
|
selection
|
selection
|
single user login
|
single user login
|
sister projects
|
miradi dada
|
skills development
|
maendeleo ya ujuzi
|
Small Wiki Monitoring Team
|
Timu Ndogo ya Ufuatiaji ya Wiki
|
South Asian Association for Regional Cooperation
|
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kikanda ya Asia ya Kusini
|
spam
|
barua taka
|
spam block list
|
orodha nyeusi ya barua taka
|
special page
|
ukurasa maalum
|
special pages
|
kurasa maalumu
|
speedy deletion
|
ufutaji wa haraka
|
speedy deletions
|
ufutaji wa haraka
|
staff
|
staff
|
stakeholder
|
mdau
|
stakeholders
|
wadau
|
steward
|
wakili / msimamizi
|
steward elections
|
chaguzi za mawakili / chaguzi za wasimamizi
|
steward requests
|
maombi ya mawakili / maombi ya wasimamizi
|
stewards
|
mawakili / wasimamizi
|
strategy
|
mkakati
|
strategy recommendation
|
mapendekezo ya mkakati
|
strategy recommendations
|
mapendekezo ya mkakati
|
SUL
|
SUL
|
summaries
|
muhtasari / ufupisho
|
summary
|
muhtasari / ufupisho
|
support
|
msaada/ tegemeza
|
suppression
|
suppression
|
sustainability
|
endelevu
|
sysop
|
msimamizi
|
sysops
|
wasimamizi
|
T
Kiingereza
|
Utafsiri
|
talk page
|
ukurasa wa majadiliano
|
talk pages
|
kurasa za majadiliano
|
task force
|
kikosi kazi
|
Telegram Group
|
Kikundi cha Telegram
|
Telegram Groups
|
Vikundi vya Telegram
|
template
|
Kiolezo
|
templates
|
Violezo
|
test wiki
|
jaribu wiki
|
test wikis
|
jaribu wikis
|
thematic hub
|
kitovu cha mada
|
thematic hubs
|
vitovu vya mada
|
thematic organization
|
kitovu cha shirika
|
thematic organizations
|
vitovu vya mashirika
|
trademarks committee
|
kamati ya alama za biashara
|
transclusion
|
uhamishaji
|
translation of the week
|
Tafsiri ya wiki
|
translation request
|
ombi la tafsiri
|
translation requests
|
maombi ya tafsiri
|
treasurer
|
mweka hazina
|
Trust & Safety
|
Uaminifu & Usalama
|
trustee
|
mdhamini
|
trustees
|
wadhamini
|
U, V
Kiingereza
|
Utafsiri
|
UCoC Enforcement guidelines
|
Mwongozo wa utekelezaji wa UCoC
|
United States and Canada
|
Marekani na Kanada
|
Universal Code of Conduct
|
Kanuni ya Maadili ya Ulimwengu / Kanuni za Maadili kwa Wote
|
update
|
Sasisha
|
user
|
mtumiaji
|
user group
|
kikundi cha watumiaji
|
user groups
|
vikundi vya watumiaji
|
user page
|
ukurasa wa mtumiaji
|
vandal
|
mharibifu
|
vandalism
|
uaribifu
|
vandals
|
waharibifu
|
verifiability
|
verifiability
|
vice-chair
|
makamu mwenyekiti
|
village pump
|
pampu ya kijiji
|
VisualEditor
|
VisualEditor
|
Volunteer Response Team
|
Timu ya Majibu ya Wakujitolea
|
W
Kiingereza
|
Utafsiri
|
Wikibooks
|
Wikibooks
|
Wikicouncil
|
Wikicouncil
|
Wikimania
|
Wikimania
|
Wikimedia
|
Wikimedia
|
Wikimedian
|
Mwanawikimedia
|
Wikimedia Cloud Services (WMCS)
|
Huduma ya Cloud ya Wikimedia (WMCS)
|
Wikimedia Commons
|
Wikimedia Commons
|
Wikimedia community
|
jumuiya ya Wikimedia
|
Wikimedia Foundation
|
Shirika la Wikimedia
|
Wikimedia Foundation official policies
|
sera rasmi ya Shirika la Wikimedia
|
Wikimedia Foundation official policy
|
sera rasmi ya Shirika la Wikimedia
|
Wikimedia project
|
mradi wa Wikimedia
|
Wikimedia projects
|
miradi ya Wikimedia
|
Wikimedia Summit
|
Mkutano wa Wikimedia
|
Wikinews
|
Wikinews
|
Wikipedia
|
Wikipedia
|
Wikiquote
|
Wikiquote
|
Wikisource
|
Wikisource
|
Wikispecies
|
Wikispecies
|
wikitext
|
wikitext
|
wikitext editor
|
wikitext editor / mhariri wa wikitext
|
Wikiversity
|
Wikiversity
|
Wikivoyage
|
Wikivoyage
|
Wiktionary
|
Wiktionary
|
working group
|
kikundi kazi
|